Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 6,823 Reaction score 15,293 Dec 20, 2023 #1 Mechi ya Yanga vs Al Ahly kocha msaidizi wa Yanga alipata red card, alipunzika mechi na Medeama ,mechi ya pili leo alikwepo. Je kadi aliyopata ilikuwa akose mechi moja tu?
Mechi ya Yanga vs Al Ahly kocha msaidizi wa Yanga alipata red card, alipunzika mechi na Medeama ,mechi ya pili leo alikwepo. Je kadi aliyopata ilikuwa akose mechi moja tu?
DAEMUSHIN JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,428 Reaction score 120,464 Dec 20, 2023 #2 Nafikiri si kila kadi nyekundu ya moja kwa moja ina adhabu ndani yake. Mfano rejea kadi nyekundu aliopewa marcus rashford dhidi ya copenhagen, UEFA hawakumfungia zaidi ya kutumikia mechi moja nje. Tusubirie wajuzi wa sheria za soka.
Nafikiri si kila kadi nyekundu ya moja kwa moja ina adhabu ndani yake. Mfano rejea kadi nyekundu aliopewa marcus rashford dhidi ya copenhagen, UEFA hawakumfungia zaidi ya kutumikia mechi moja nje. Tusubirie wajuzi wa sheria za soka.
KING KIGODA JF-Expert Member Joined Dec 28, 2018 Posts 3,893 Reaction score 3,145 Dec 21, 2023 #3 Watu kimya!.