The mixed-use development is going to be put up on a 387-acre piece of land near Limuru. The project will have 3,304 housing units, commercial and retail space. For more details on this project, click this link
We need to have such workable plans in the country. Let politics aside. Hizo hela za Escrow zinatengeneza kabisa hiki kijiji tukiamua kukiweka pale Mapinga. Inawezekana sana
We need to have such workable plans in the country. Let politics aside. Hizo hela za Escrow zinatengeneza kabisa hiki kijiji tukiamua kukiweka pale Mapinga. Inawezekana sana
Inafurahisha sana mafisadi kuchimbia pesa zao kwenye off shore accounts wakati bongo kuna fursa zenye ROI ya kufa mtu, na hizo fursa wala hazina ushindani
Inafurahisha sana mafisadi kuchimbia pesa zao kwenye off shore accounts wakati bongo kuna fursa zenye ROI ya kufa mtu, na hizo fursa wala hazina ushindani
Kweli kabisa mkuu.
Return On Investment hapa hapa kwetu ni kubwa sana kutokana na kukosekana kwa mifumo rasmi ya kufanyia biashara.
Tax avoidance, tax evasion and ufisadi nakadhalika. Utashindwa kweli kupata faida ya kutosha?