Red cross inalipa?

Red cross inalipa?

Ben40

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2012
Posts
207
Reaction score
37
Habari wana jf napenda kuuliza je hii redcross inalipa na sifa za kujiunga ni zipi pia soko lake la ajira hapa Tz likoje?naomba mawazo yenu coz ulitokea mjadala huo
 
Eleza vizuri level gani regional level,country level continental level au International level. Na kiwango gani Cheti,Diploma au Digrii.
 
Certificate
Ingawa hujanijibu kulingana na nilivyo uliza. kifupi ni hv
I. kuna Cheti cha mkoa,Taifa na Kimataifa.Pia vipo vya KISANII kama vinavyotolewa Dodoma na kasikuli fulan kwa NEMBO ya RED CROSS na kuwadanganyen MTAKUWA WAUGUZI(MANESI)
Sasa wewe unampango wa kusoma kiwango gan cha chet mkoa,Taifa au Kimataifa ILI NIKUSHAURI VYEMA.
mi nina "INTERNATIONAL CERTIFICATE OF A GOOD QUALIFIED FIRST AIDER" Iliyotolewa GENEVA-USWIS
 
Hivi unafahamu kwa sheria ya nchi nyingi, cheti cha mtoa huduma ya kwanza kinaekspaya baada ya miaka miwili? Go figure.
mi nina "INTERNATIONAL CERTIFICATE OF A GOOD QUALIFIED FIRST AIDER" Iliyotolewa GENEVA-USWIS
 
Ingekuwa hvyo hata cha Kimbisa kisingetumika tena na asingeendelea na ukatibu mkuu kwan sifa mojawapo uwe mtoa huduma ya 1 uliyepata mafunzo
 
Hailipi uwanjani wanapewa laki 2 wagawane unakuta wapo hata 20
 
Back
Top Bottom