Habari wana jf napenda kuuliza je hii redcross inalipa na sifa za kujiunga ni zipi pia soko lake la ajira hapa Tz likoje?naomba mawazo yenu coz ulitokea mjadala huo
Ingawa hujanijibu kulingana na nilivyo uliza. kifupi ni hv
I. kuna Cheti cha mkoa,Taifa na Kimataifa.Pia vipo vya KISANII kama vinavyotolewa Dodoma na kasikuli fulan kwa NEMBO ya RED CROSS na kuwadanganyen MTAKUWA WAUGUZI(MANESI)
Sasa wewe unampango wa kusoma kiwango gan cha chet mkoa,Taifa au Kimataifa ILI NIKUSHAURI VYEMA.
mi nina "INTERNATIONAL CERTIFICATE OF A GOOD QUALIFIED FIRST AIDER" Iliyotolewa GENEVA-USWIS