Utaelewa Tu Bibie Shaka OndoaNdio nini hiki umeandika Mkuu?
Huyo uliyekutana nae ni mchepuko aliyepigwa na mke wa wenyewe sio red eyes mkuuWakuu,
Nimekutana na mtu mmoja leo akiwa amevimba macho na yapo mekundu, dalili kabisa za Red Eyes, inavyoonekana ndio ipo kwenye hatua za mwanzo. Tayari ugonjwa ushaingia? Mmekutana na wengine huko mtaani mwenye nao?
Tupate taarifa sahihi ili tuchukue tahadhari, hasa kwa watoto, maana huwa yanatesa kwakweli.
Wizara ya Afya Tanzania
Kwamba aligonga vyombo usiku kucha, leo kaamka nazo!Ndio nini hiki umeandika Mkuu?
Wao ndio wana mamlaka hayo, huwezi wewe ukajitokeza na kusema kuna status hii. Na ni vizuri kusaidia hasa wenye watoto wadogo/wachanga kuwa makini, ni shida ukiwa na mtoto mdogo akaumwa hii wakati unaweza kuepusha huo usumbufuYaani "red eyes" ndio iwe suala la kutolewa tamko na wizara ya afya, hebu tuacheni utani...
Yes yavimbeInawezekana pia, ila si macho yangekuwa mekundu tu, ndio yavimbe kabisa?
Huu ugonjw kila mwaka lazima utiee timuYaani "red eyes" ndio iwe suala la kutolewa tamko na wizara ya afya, hebu tuacheni utani...
Hujaenda Rombo wewe, kule vijana wote kama red eyes Sababu ya visungura.Inawezekana pia, ila si macho yangekuwa mekundu tu, ndio yavimbe kabisa?