Red Eyes imeingia tena nchini? Wizara ya Afya semeni neno tuchukue tahadhari

Sisi wanaume tunapovuta bangina kunywa pombe nyingi macho yanakua mekundu sana kwahiyo mtutoe huko
 
Labda kavuta bange, never know!!!

Lakini, hili nalo mpaka usubiri serekali iseme kitu???

Serekali ya Tanzania ilifanikiwa sana kwenye game ya mind control, hii role, TV station moja waliicheza vizuri sana, kwa kujua ama kutokujua(mapandikizi lazima yalihusika)

Kizazi cha 70 mpaka miaka ya mwanzoni mwanzoni mwa 2000 kiliathiliwa sana na ile tv

Ndio maana wafanyakazi wengi wa kile kituo wamelamba nafasi nyingi gavooo!!! Wengine ni watumishi waliotukuka.

View: https://youtu.be/vcCDaPeoWSU?si=TdSwXnW7Jjr_hanx
 
Da Jenister Atakuja Kutoa Neno Moja
 
Red eyes ni ugonjwa wa Dar hasa miezi ambayo mti wa muarobaini na mjoholo inatoa maua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…