Kanyawela Senior Member Joined Aug 22, 2015 Posts 183 Reaction score 203 May 8, 2022 #1 Wakubwa salaam, Ningependa kama kuna mtu anajua faida za binzari nyeusi na tangawizi nyekundu. Pia kama kuna tofauti yoyote na binzari za njano au tangawizi nyeupe
Wakubwa salaam, Ningependa kama kuna mtu anajua faida za binzari nyeusi na tangawizi nyekundu. Pia kama kuna tofauti yoyote na binzari za njano au tangawizi nyeupe