Red Lingerie

Red Lingerie

afrodenzi

Platinum Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
18,150
Reaction score
9,255
ladies and Gentleman

leo nimeamua kuuliza kuhusu hii rangi..
kwanini au nini kinawafanya (wanaume)wapende red
utakuta mtu unaenda shopping na partner wako yeye
anakuchangulia nguo nyekundu especially kama ni Lingerie
inamaana hamjui rangi nyingine au?? vipi kuhusu yellow, purple, pink, blue etc
 
AD, nadhani hii ni rangi ambayo inawapendeza Wanawake wengi kuliko rangi nyingine yeyote ile na pia labda Wanaume wengi wanaipenda rangi hii ukilinganisha na rangi nyingine yeyote ile. Lingerie nyeusi, kijani, njano Mhhhhhh! hata hazina mvuto mkubwa sana ukilinganisha na rangi ya wapendanao.
 
sio kila kidume kinapenda red

mimi my favourite ni white......

rangi nyingine iwe light hivi

mfano pink,cream n.k...

red inampendeza mwanamke mweupe...
mwanamke mweusi bora white au light pink.....

hizi rangi inategemeana na usafi wa mtu.....

mwingine ukimpa nyeusi au dark blue utajuuuuta......lol

afro which is ur favourite color?
 
ok kwa hiyo
mnaipenda sababu ni kivutio tu kwenu
mmmhhhh asante..
 
sio kila kidume kinapenda red

mimi my favourite ni white......

rangi nyingine iwe light hivi

mfano pink,cream n.k...

red inampendeza mwanamke mweupe...
mwanamke mweusi bora white au light pink.....

hizi rangi inategemeana na usafi wa mtu.....

mwingine ukimpa nyeusi au dark blue utajuuuuta......lol

afro which is ur favourite color?

ok vizuri kusikia
si wote wanafagilia red
 
ladies and Gentleman

leo nimeamua kuuliza kuhusu hii rangi..
kwanini au nini kinawafanya (wanaume)wapende red
utakuta mtu unaenda shopping na partner wako yeye
anakuchangulia nguo nyekundu especially kama ni Lingerie
inamaana hamjui rangi nyingine au?? vipi kuhusu yellow, purple, pink, blue etc

AD Kwanza kabisa kama unavyoelewa red mara nyingi inakua associated na romance/romantic moments...

Nimewahi soma article moja (nimesahau kabisa mwandishi) iliyokua ikipambanua kuhusu color red kwa wanawake; ilielezia kua red ni color ambayo wanaume wengi wanapenda na hivyo huvutiwa na a lady in red, na pia ni rangi ambayo inapendeza wanawake wengi contray to other colors. Inasemeka lilipofanywa jaribu la kupiga picha mabinti warembo in three different colors red ikiwa moja wapo, guys walipoulizwa if they found the person sexy or attractive - the girls results ilikua attractive in the other colors but the same girls in red where acknowledged as sexy!
 
sio kila kidume kinapenda red

mimi my favourite ni white......

rangi nyingine iwe light hivi

mfano pink,cream n.k...

red inampendeza mwanamke mweupe...
mwanamke mweusi bora white au light pink.....

hizi rangi inategemeana na usafi wa mtu.....

mwingine ukimpa nyeusi au dark blue utajuuuuta......lol

afro which is ur favourite color?

nakuunga mkno sana kaka. me napenda white sana pia nachukia nyekundu kuliko zote.
sina ngua hata moja nyekundu.
 
Mimi na white siambiwi kitu....One man's food might be another man's poison!!

Mzee DC
 
ladies and Gentleman

leo nimeamua kuuliza kuhusu hii rangi..
kwanini au nini kinawafanya (wanaume)wapende red
utakuta mtu unaenda shopping na partner wako yeye
anakuchangulia nguo nyekundu especially kama ni Lingerie
inamaana hamjui rangi nyingine au?? vipi kuhusu yellow, purple, pink, blue etc

Mine likes pure white...
 
AD Kwanza kabisa kama unavyoelewa red mara nyingi inakua associated na romance/romantic moments...

Nimewahi soma article moja (nimesahau kabisa mwandishi) iliyokua ikipambanua kuhusu color red kwa wanawake; ilielezia kua red ni color ambayo wanaume wengi wanapenda na hivyo huvutiwa na a lady in red, na pia ni rangi ambayo inapendeza wanawake wengi contray to other colors. Inasemeka lilipofanywa jaribu la kupiga picha mabinti warembo in three different colors red ikiwa moja wapo, guys walipoulizwa if they found the person sexy or attractive - the girls results ilikua attractive in the other colors but the same girls in red where acknowledged as sexy!

mmhh hapo kwenye red
hapo yaani nakubaliana na we sana
huwa tukiwa out na marafiki wote wa kiume na wa kike
wakimwona msichana kwenye red utasikia she is "hot"
 
Umeona eeeh... Alaf hata mm personally ni color yangu - I really luk good in red, ndo maana nikitoka outing hasa a day ambayo am feeling really good, nahakikisha nimetupia kitu red, hii inasaidia pia patner wako ajue si yeye peke yake ambae anakukodolea mimacho...
 
Ni rangi ambayo ni kali hivyo inafanya mtu awe noticed kuliko wengine. Na hivyo inamfanya muangaliaji achukua muda kumsoma mvaaji ndio maana mwisho anaona uzuri wa mvaaji.

Ila ni color ambayo watu hawashauriwi kuvaa kwenye interviews au any important official/business meetings. Sikumbuki sababu but I always take it that way. Sivai red kwenye interviews na kwenye mikutano ya maana ya kibiahsara/kiofisi.

Back
Top Bottom