Red Lingerie

na kwenye mambo ya ethic wadada mnashauriwa msivae nguo nyekundu makazini kwani zinaleta mvuto hasa kwa mabosi wenu
 
Small dose of it makes your life much better....Like a smile..it extends your life span... Je wewe ungependa kupewa R.I.P mapema?

mmh DC, RIP not now!...I know why red, it suits my colour pia mind you na design ya lingerie matters a lot siyo rangi tu!!..

Pia suala kubwa wanaume kununulia wanawake wao red lingerie ni kwamba ina-aasociate na love mfano red rosses, red candles..you name it!..mtu msafi ni msafi tu hata avae light pink🙂)ha ha
 
Nataka picha ya Hugo Chavez (nae ni mzee wa red) ila sasa mwenzako utaalamu wa IT sifuri nimeshindwa namna ya kumuweka hapo. Namzimia sana huyu jamaa na sera zake.



Nimeona nikuoneshe kabisa the way alivyopendeza... LOL, hili suala naona wa Jf inabidi watoe elimu ya ziada, mana mengi tunakwama. But members wa humu ndani, ukiomba assistance wanakuelekeza poa.
 
View attachment 28811

Nimeona nikuoneshe kabisa the way alivyopendeza... LOL, hili suala naona wa Jf inabidi watoe elimu ya ziada, mana mengi tunakwama. But members wa humu ndani, ukiomba assistance wanakuelekeza poa.

This is among presidents I admire most Asha D. Acha tu sitaki kuongelea politics maana humu si mahala pake. Ila jamaa yuko juu kuliko ao wauza sura kina Obama.
 
...ha ha ha! afrodenzi acha hizo. Hiyo pink itakuwa 'Magenta, fuchsia, au deep pink' bana!
Yellow will make me puke! huh!!!...


Hapo ulipoiweka tu hujatapika? just thinking loud,lmao!...
 
Nimekukubali mtu wangu
 
Easily noticed.... inapendeza kwa wote mvaaji na mwangaliaji....inavutia...inatia hamasa and so so...
Ndo maana ukitaka kua noticed kwa haraka sehemu kama kwenye party hivi au club we vaa nyekundu....yani kila mtu atakuona!!
 
Reactions: BAK
Bado aisee hata na mnyama inaumiza macho

...ha ha ha, umeona ee? utadhani imemwagiwa 'mchuzi wa bizari!'
Anyway,...kila mtu na taste yake. Huenda wengine 'shouting' colours ndio mihemko yao.

Unapokuwa kwenye mahusiano inabidi kuji adapt na chaguo la mwenza,
iwe ni mavazi, manukato, na mwonekano kwa ujumla.
 
Kabisa aisee maana njano imekaa kushoto sana
 
Reactions: Mbu
 
Bubu the song is among my favorites.

Imagine unatoka na mdada ambae everyman wanna be by her side. Bichwa linakuwa kuubwa. Lucky guy.


 
Reactions: BAK
Bubu the song is among my favorites.

Imagine unatoka na mdada ambae everyone wanna be by her side. Bichwa linakuwa kuubwa. Lucky guy.


Hata mimi naupenda sana wimbo huu. Ni kweli kabisa unapopata bahati ya kuwa na binti ambaye kila njemba anapenda kuwa ubavuni mwake basi unajisikia raha sana.
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…