Red Sweet Wine & Nuts....πŸ˜‹

Kumbe wine ni wine na bia ni pombe eenh? Au konyagi ni konyag[emoji2957][emoji2957]
Ma POMBE ni mavitu machungu machungu, magum magum, makali makali kama ma bia, ma kvant, ma konyagi, ma valeur, nk. Karakataristik za li POMBE ni kwamba lazima likuleweshe, likuumize kichwa asubuhi, likukoseshe apetait, likutapishe yaani ilimradi tu likutese na ndio maana yanauzwa bei ndogo ili ku kompaseti hayo matatizo.

WINE ni kinywaji sio pombe, ni kinywaji pekee ambacho hata madaktari wana rekomendi kwa ajili ya daijeschen ku teki plesi. Wine ni afya! 🍷
 
Kwakweli hata mimi tangu niache POMBE kinywaji changu pendwa ni wine. Mi napiga zote red au white mradi iwe sweet. [emoji485]
Wine si pombe jamani, mbona mie nachanganyikiwa jamani [emoji30]
 
Ina % 14.3 ~ 16.5 Ya Kilevi Ila Siyo Kama Pombe Ngumu (Inueni Mioyo) KVant Konyagi Na Zile, Za Aina Hiyo
Anhaa! Nilidhani ni kama soda, asante kwa ufafanuzi..
 
Nmevutiwa na hiko kitambi chako mupenz[emoji12]

Khaaaaaa.......!!!!!πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Haki wanaume Mungu anawaona......🀩
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…