Redio imani: Tcu imewekwa kudhoofisha uislamu

hapo umenena kwa hili swala tuache vigezo na masharti kuzingatiwa
 

TAmaaa ya kuiingiza TANZANIA katika RELIGIOU STATE ndio sababu haswaa ya kufanya yote hayo kuna baadhi ya dini ambao wanadhani ni superior than any other na wamezaliwa kuitawala dunia na wapo tayari kufanya lolote lile kahakikisha wanaitawala dunia kwa SHARIA kitu ambacho ni kinyume na haki za binaadam na haswa haki ya kuabudu na sasa wanajaribu kutimiza adhma yao kwa kufanya uchochezi ili waogopwe na matakwa yao kukubaliwa na serikali LAKINI KAMWE HILO HALIWEZEKANI.................MUNGU NI MMOJA NA NI MUNGU WA WOTE LAKINI KIAMA KIPO KWA WALIO WABABE WA BUNIA HII
 
Hawa mashehk ubwabwa hata kuongea Engl dk 5 jasho linawatoka. Kazi kuongea kiarabu na kula tende na kupiga majungu misikitin
 
Duh!nashangaaga sisi wanatuita makafiri lkn tupo kimya ila wewe jaribu kuwaita makafiri uone chamoto hata huwa siwaelewi kabisa.
 
Kwani raisi na makamu wa rais ni wakristu!!!!!!!!!!!!!!!???
 
Heshimu imani ya mwenzio nawe yako itaheshimiwa...,.
Msomi hutoa njia za kutatua matatizo sio matusi.....guyz kama huwezi kutoa comment ya kusaidia please kaa kimya...hili si jambo la mchezo.
 
tatizo watataka zle potentia zote zwe upande wao yaan kama Dar na kanda ya ziwa kote wamiliki wao then wakristu wapewe may be nyanda za juu kusini TU. umeona hatari yake tatzo ni kwamba wao wanataka utawala wa dunia.....!!!!!!!!!!!!!!!1
 
mimi redio imani inaniboa inapo endesha vipindi vya mijadala.yaani watoa mada level yao ya kufikiri inashangaza sana kwa ujumla wake.ila ifahamike kwaba redio ile ni ya taasisi flani kwa hiyo inakuwa na 'infuluence" kulingana na fikra za mmiliki.kuhusu kuifungia,suala hilo linahitaji hekma kubwa kwa sababu nyuma yake kuna watu flani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…