Redio (karibu zote) huzungumzia mapenzi wakati wa usiku

HOSEA 4:6 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa.
 
Wewe hujui kuwa Tanzania inaongoza kwa mapenzi na ufisadi, ndo maana wazungu wakijaribu tu wanaingia mazima kabisa na kutangaza ndoa kwa dada zetu!! Uchumi uwe duni, elimu mbovu, umasikini uliokithiri alafu hadi kwenye idara ya mapenzi tuwe chini jaman...., ni ajabu lakini ni kweli! tumewekeza zaidi kwenye ufisadi na mapenzi pata picha aina ya taifa tulilonalo watanzania
 
kuna tofauti ya mapenzi na ngono. Sema tunaongoza kwa ngono. Kwa ishu ya ufisadi inatia shaka maana tumechaguliwa kuwa wenyeji wa masuala ya kupambana na rushwa katika Afrika. 'Tuna nafuu' katika hilo
 
nimeanza na east africa nikaja clouds nikahamia radio one nikaenda kiss fm, majic fm, passion, 100.5, capital... Zote hizi mida hii mapenzi tu. Hivi hakuna zaidi ya hili?

Hiyo inaitwa copy and paste. Wanafanya kuwa usiku ni ngono tu! Anyway sikiliza station za dini utapata burudiko la moyo wako. Bwana Yesu apewe sifa.
 
Sikiliza radio za Dini kama hautaki mambo hizo.
 
Hiyo inaitwa copy and paste. Wanafanya kuwa usiku ni ngono tu! Anyway sikiliza station za dini utapata burudiko la moyo wako. Bwana Yesu apewe sifa.

hawajui kuwa usiku ni zaidi ya ngono. Ni wakati wa kutafakari ya siku na yajayo. Ngoja tujaribu za dini sasa
 
WAACHENI WAMWAGE SHULE...Wtz kutokana na uelewa mdogo kuhusu mapenzi tumekuwa tukiangukia kwenye soln. ya kale "kutoka nje" pindi itokeapo tofauti...hivyo kuligharimu taifa na janga la ukimwi...
 
WAACHENI WAMWAGE SHULE...Wtz kutokana na uelewa mdogo kuhusu mapenzi tumekuwa tukiangukia kwenye soln. ya kale "kutoka nje" pindi itokeapo tofauti...hivyo kuligharimu taifa na janga la ukimwi...

kwa hiyo kwa kuwepo hivyo vipindi usiku vimesaidia kupunguza maambukizi ya ukimwi?
 
nimeanza na east africa nikaja clouds nikahamia radio one nikaenda kiss fm, majic fm, passion, 100.5, capital... Zote hizi mida hii mapenzi tu. Hivi hakuna zaidi ya hili?

Sasa usiku huo mtazungumza nn ndugu zangu zaidi ya mapenzi?wengine wamechoshwa na kitabu mchana kutwa wengine wamechoshwa shuguli zao za kila siku!kama upo bibie pembeni au upo na kidume chako basi mnafariria kwa mazungumzo ya kupeana mahaba mkisindikiza na mazungunzo ya kimapenzi yanayoendelea kwenye radio
 
usiku wa saa ngapi..

Vipindi vya dini je? Hakuna redio zake?

Halafu rekebisha heading ya uzi... Sema karibu zoooote za FM!
 
kuna tofauti ya mapenzi na ngono. Sema tunaongoza kwa ngono. Kwa ishu ya ufisadi inatia shaka maana tumechaguliwa kuwa wenyeji wa masuala ya kupambana na rushwa katika Afrika. 'Tuna nafuu' katika hilo

Unafikiri ni wote wanaochaguliwa ni wasafi???unajua alowachangua aliangalia vigezo gani na how objective was she/he??
 
Hata watoe masomo kama hayo wanafunzi wenyewe mida hiyo wanakuwa night club,kuhusu masomo wataingia na madesa tuu!!
 
Unafikiri ni wote wanaochaguliwa ni wasafi???unajua alowachangua aliangalia vigezo gani na how objective was she/he??

as far as misconception is concerned, madam, i did not mean what u thought. Pia chukua muda kunielewa hapo nilipoandika 'tuna nafuu'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…