Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,605
- 1,085
Kwani weye mkuu ni JITU la wapi???Mijitu mingi ya bara ndiyo yenye tabia hiyo ya kuweka "R" badala ya "L", hii ni kutokana na kuathiliwa na lugha za makabila ya asili. Ni vema kabla ya kupew kaz ya utangazaj wapewe mafunzo ya kutamka maneno ya kiswahil kw ufasaha ili wasikichanganye
Mijitu mingi ya bara ndiyo yenye tabia hiyo ya kuweka "R" badala ya "L", hii ni kutokana na kuathiliwa na lugha za makabila ya asili. Ni vema kabla ya kupew kaz ya utangazaj wapewe mafunzo ya kutamka maneno ya kiswahil kw ufasaha ili wasikichanganye
Wapuuzi sana, tena kama hawa radio presenters ndio zero kabisa, utaskia 'nyimbo hii ilipigwa kipindi hiko'
renyewe naro hiro rijamaa rijitu ra bala ila rinajifanya ra pwani kwa vile rinaishi tandare kwa bibi nyau!!Kwani weye mkuu ni JITU la wapi???
Mkuu hiri riajamaa ritakua rikazi ra MWANANYAMARA kwa bibi...Ira rikiwa nyuma ya keyboard rinajifanya la PWANIrenyewe naro hiro rijamaa rijitu ra bala ila rinajifanya ra pwani kwa vile rinaishi tandare kwa bibi nyau!!
Kwani weye mkuu ni JITU la wapi???
Na wewe pia ni jitu la bara uliyeathirika na hizo 'L' na 'R'.