Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
"Wakati umewadia wa salamu za wagonjwa hospitalini leo tunawapa pole*2" Ajuaye bwana Mungu kuwa mzima kuwa mfu mgonjwa kuwa salama leo tunawapa pole*2"
Kiitikio;
Kipindi chenu kinawapa pole wote tunawapa pole, Mungu awajalieni pole*
Huo ni wimbo maarufu ambao ulikuwa ukifungua kipindi cha wagonjwa RTD kuanzia saa 4:02 asubuhi siku ya Jumapili mtunzi na muimbaji wa wimbo huo ni marehemu OMARY KUNGUBAYA ambayekifo chake kumetokea tarehe 20 Oct 2016.
Kwa ufupi mzee Kungubaya Alizaliwa 1939 ktk kijiji cha Vigolegole, Morogoro na kuanza muziki 1955 akiwa na miaka 16 ktk bendi ya Cuban Marimba chini yake Salumu Abdallah Yazidu"SAY" mzee Omary Kungubaya aliweza kuimba na kupiga vema gitaa la galatone lenye nyuzi 6, mwaka 1960 aliweza kwenda nchini Kenya kusomea muziki na hatimaye 1961 alirejea Moro na kujiunga na Kilosa Jazz akiwa sambamba na akina Yahya Abbas na Abel Balthazar