Nipe sababu moja kwa nini ulaya na America wanasikiliza radio na huduma ya posta bado ipo active ila Africa inakufa ?Kaka una moyo, bafo unasikiliza radio tz na tbc?
Sijazungumzia huduma za posta, hiko ni kitu kingineNipe sababu moja kwa nini ulaya na America wanasikiliza radio na huduma ya posta bado ipo active ila Africa inakufa ?
Yeah najua , ila kiujumla ningependa kujuaš¤Sijazungumzia huduma za posta, hiko ni kitu kingine
Umeshajiupiza why meadia za private zinakimbiza kuliko radio tz na tbc?Yeah najua , ila kiujumla ningependa kujuaš¤
Hiyo inaonyesha Africa ni sehemu ya kipumbavu sana kufanya maisha seriouslyUmeshajiupiza why meadia za private zinakimbiza kuliko radio tz na tbc?
Private sector wanatembea na performance zaidi , wakiwa bora wanapata faida. While gov funded hawajapi sababu hata wasipo perform mshahara utaingia tu. Hamna hasara pia
Moja ya sababu ya posta kufa Tanzania ni uzembe! Parcel kutoka Dodoma hadi Sumbawanga inachukua siku 7 wakati kwa mabasi binafsi ni siku mbili, yaani ikitumwa leo kesho inapokelewa.Yeah najua , ila kiujumla ningependa kujuaš¤
Africa sijui tupojeMoja ya sababu ya posta kufa Tanzania ni uzembe! Parcel kutoka Dodoma hadi Sumbawanga inachukua siku 7 wakati kwa mabasi binafsi ni siku mbili, yaani ikitumwa leo kesho inapokelewa.
Kwa kutumia busara za kawaida hakuna mtu ataenda posta na hasa ukizingatia urasimu utakaokutana nao!