Redio za Solar na Digital voice recorder

steveslove

Senior Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
110
Reaction score
32
Habari JF people,

Nahitaji redio 20 za solar kwa ajili ya mradi vijijini pamoja na digital voice recorder. Ambae anajua kampuni au unadeal na hivi vitu please niambie. Kama utakuwa na contacts naomba unipe nikutafute. 20 kwa vyote its URGENT, ASANTENI
 
Naomba uwe more specific.Ni radio hizi za kawaida amabazo badala ya kununua betri mtu anachaji au ni zipi?
Kama ndio hizo basi ziko nyingi ila ni za chini na kudumu kwake ni kwa mashaka.Kuna zile za ku rewind na inakuwa na nguvu kwa kama saa moja then una rewind tena.
Tembelea Machinga wanaouza radio utazikuta nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…