Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Redio naskiliza kwaajili ya kupata au kukusanya habari mpya ili niifatilie kwa umakini hyo habari maana redio zetu wamejaa mbumbumbu wengi mno hawajui lolote wao wanaropoka tu hawafanyi analysis kabla ya kuja kuongea na watu wengi.
Hivi wanafikiri wasikilizaj wote ni wajinga kama wao? sio kwnye burudani, michezo,siasi kote wapo empty na ukija kimataifa ndo utachoka wengne hata kusema paragraph moja tu ya lugha ya malkia ni shida! nabaki najiuliza kwanini asingejiandaa akaweka kwenye lugha ya kiswahl unabaki unakosa majibu!
WAJINGA WAJINGA KUJAA KWENYE MEDIA HOUSE NI KULIABISHA TAIFA KWA UJUMLA NA WATU WAKE WOTE.