Phone4Sale Redmi 8 Duos 64 GB/4GB Global Version

eli_dealz

Senior Member
Joined
Jan 19, 2020
Posts
177
Reaction score
107
Nauza Redmi 8 Sapphire Blue.
Brand New Sealed and straight From Xiaomi

Global Version (Ina full google apps pamoja na google playstore + ni multilanguage)
ROM ni 64GB
RAM 4GB
Line mbili na inasupport 4G mitandao yote Bongo
Battrey kubwa 5000 Mah (It can last two days with heavy usage)

Ndani ya box unapata pia:

Free black cover
10 watt charger

Price: SOLD!
Contact:SOLD!
Location: Dar es salaam




Ndani ipo hivi




SIMU IMESHAUZWA!!
 
Muongo huyo, hiyo 390,000 ni bei fair kabisa. Watu hawazijui hizo simu ni balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja kaka, thanks kwa support ni kweli hizi simu ni mwamba sana, utofauti wa hizi na Tecno, Infinix au Itel ni processor yake ambayo ni kampuni(Qualcomm) hiyo hiyo moja inayotegeneza processor zinazorun Android kali na zinazo ongoza kwa ubora.. kama Samsung S20 iliyotoka juzi tu inatumia processor ya kampuni hiyo hiyo.

So hichi ni kitu cha uhakika kabisa.
 
Simu bado ipo, ofa ya juu mpaka sasa ni 375,000 tzs karibuni wadau hi simu hautajutia kuinunua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…