Christian K
Member
- Aug 25, 2022
- 8
- 3
Hailipi kaka Simu bado New kabisa.Laki 2 na 20
Hailipi BossMkuu chukua laki mbili
Sawa bosiHailipi Boss
Miezi minne mingi sana kwenye Bidhaa inayotumika. Mbili na NusuHailipi kaka Simu bado New kabisa.
Halafu tuko note 13Miezi minne mingi sana kwenye Bidhaa inayotumika. Mbili na Nusu
350,000 Bei ya mwisho Bro bei fair kabisa 250K uongo mkuuMiezi minne mingi sana kwenye Bidhaa inayotumika. Mbili na Nusu
Kijana wangu alikua anahitaji sim, chukua 200K.350,000 Bei ya mwisho Bro bei fair kabisa 250K uongo mkuu
Inakuaje new kabisa alafu imetumika miezi minne? Au Mimi ndio sielewi!Hailipi kaka Simu bado New kabisa.
Ina miezi minne toka inunuliwe Haina shida yeyote iko clean sanaInakuaje new kabisa alafu imetumika miezi minne? Au Mimi ndio sielewi!
350K unachukua,Simu iko Iringa.Kijana wangu alikua anahitaji sim, chukua 200K.
Ukowapi?
Asante ngoja niingie dukani kwa hiyo bei boss350K unachukua,Simu iko Iringa.
Nenda kakamate redmi note 12 mang'anyu kabisa, kijana walimpiga wakati wanamuuziaAsante ngoja niingie dukani kwa hiyo bei boss
Hapana kk Simu huwa zinashuka bei Kaka sio kupigwa, lakini hata hivyo ww unaona 200K ndio thamani ya Note 11 128GB ? Hata kama NI usedNenda kakamate redmi note 12 mang'anyu kabisa, kijana walimpiga wakati wanamuuzia
Hapa uko sawa mkuu, hii bei ni resonable ,mwenye hela akamate simu ya maana kabisa hiyo280K nitakupatia,Upo wapi?
Wachina kwenye Fast Charging Technology wako vizuri sanaXiaomi Redmi Note 11
Storage Gb128/6Gb Ram
Camera ni balaa📸🔥🔥50MP ultra Wide /13MP Selfie
Laini mbili
Battery 🔋 5000MAH (Over 2 days lasting with data usage)
Simu iko clean Vibaya mno imetumika miezi minne, full boxed.
380K💰(Maongezi Yapo!)
0747434222
📍Simu ipo Iringa delivery ipo💯
View attachment 3131915View attachment 3131919