Redmi Note 12 Pro+ 5g Inauzwa!

Redmi Note 12 Pro+ 5g Inauzwa!

Gushleviv

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Posts
3,475
Reaction score
5,290
Salaam wadau. Kama kichwa cha tangazo kinavyojieleza. Nauza simu tajwa hapo juu yenye sifa zifuatazo:-
Simu bado ni mpya, imetumika kwa wiki 2 tu.
Storage 8 ni 8/256 gb.
Ina kila kitu chake tatizo Box tu ambalo kwa bahati mbaya lilitupwa.
Bei ya kuanzia ni Tsh 600,000/=

Yeyote aliye serious anicheki DM kwa maelezo zaidi.

Nimeambatisha picha.
IMG_20231218_084746.jpg
IMG_20231218_084413.jpg
 
Nimeshauza Wakuu..Asanteni na Asante sana kwa Mdau aliyenunua.
 
Back
Top Bottom