๐—ฅ๐—˜๐——๐— ๐—œ ๐—ฟ๐—ฎ๐˜€๐—บ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐˜๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐—๐—ถ๐—ฝ๐˜†๐—ฎ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833


๐Ÿ—ฏ๏ธ Kampuni ya Xiaomi imefanikiwa kutambulisha jina jipya kwenye soko la vifaa vya kieletroniki kimataifa inaitwa REDMI.

๐Ÿ—ฏ๏ธ Ukiangalia ni kama Mabadiliko mepesi kutoka "Redmi na kuwa"REDMI" lakini wamekuja na slogani yako wakisema Mabadiliko haya yataweza kuifanya simu zao kuleta muelekeo shupavu zaidi.



๐Ÿš€ Usichokijua kuhusu Ujumbe uliopo kwenye Neno REDMI ni kuwa inajihusisha na
โœ”๏ธ confidence
โœ”๏ธ Reliability Pamoja na
โœ”๏ธ Premium Quality bila kupunguza gharama yoyote ya ushindani.




๐Ÿ—ฏ๏ธ Muonekano huu wanasema watakuja kuleta Mabadiliko makubwa kwenye matoleo mapya ya simu zao ambapo Logo hiyo mpya imetambulishwa nchini india ila muda sio mrefu itaweza kutambulishwa ulimwenguni kote.

Unasemaje kuhusu Mabadiliko haya toka Kampuni ya Xiaomi ๐Ÿฅบ ? #REDMI
 
Kuna wakati ukishajipata hata ukiteleza watasema umegundua style mpya ya kutembea.
Hapo wametambulisha nini Sasa.
Wasituone sisi waumini wa Tony Kapola
 
Yaani kubadilisha herufi kutoka ndogo kwenda kubwa ndio mabadiliko? Bado sijaelewa. Aliyeelewa anisaidie ufafanuzi tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ