ref.majina ya wanaotarajia ku-graduate out

mwela

Member
Joined
Apr 26, 2011
Posts
47
Reaction score
7
msaada tafadhali!
Km kuna yeyote anaweza kudownload list ya majina ya wanaograduate mwaka huu 2012 naskia yako online.
-au anisaidie link
 
chuo gani?mbona unaweka vitu nusunusu mkuu.
 
Hivi open university ndo chuo gani kweli! Maana kuna wakati niliambiwa ni chuo kwa ajili wanasiasa kupatia sifa ili wagombee nyadhifa za uongozi...............!!!!!!!!!!!!!??????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…