Ref: Upo tayari kufa au kufanyamapenzni na mama mzani au dada wa kuzaliwa naye

mwanalumango

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2010
Posts
232
Reaction score
279
Kuna kipindi nilikuwa nikifanyakazi kwenye operesheni ya wakimbizi huko Magharibi ya Tanzania. Kutokana na wimbi la Wakimbizi, kulikuwa na silaha nyingi sana zimezagaa na hivyo majambazi yanayosadikiwa kuwa ni wakimbizi toka nchi jirani yalikuwa yakikaa kwenye misutu minene na kuteka magari ya abiria. Moja ya ukatili waliokuwa wakiufanya ni kuwalazimisha watu wafanye tendo la ndoa na ndugu zao wa kuzaliwa au mama yako mzazi. Huwa wanauliza huyu ni na ni kwako, kwakuwa hujua utasema ni mama yangu mzazi au ni dada yangu wa tumbo moja, baada ya hapo mtutu kisogoni ukilazimishwa ufanye naye tendo la ndoa, na huwa hawatanii usipofanya ni risasi. Je hii ukikutokea wewe upo tayari kufa au kutimiza matakwa yao?
 
pull the trigger. :hatari: :hatari: :hatari:. I would hate myself forever if I said yes to their 'request'
 

Kwa hiyo ww upo hai inamaana .......
MAPROSOO.
 
Kufanya na mama! bora waniuwe lakini sitakufa kirahisi hivyo nitapambana kwanza.

Lakini hivi ukiwa na hofu "chali" huwa anasimama kweli?
 
Kufanya na mama! bora waniuwe lakini sitakufa kirahisi hivyo nitapambana kwanza.

Lakini hivi ukiwa na hofu "chali" huwa anasimama kweli?
Hapo itabidi waniuwe tu,yaan mama haiwezekekani! Atleast dada
 
Ni situation ngumu lakini hakuna option nyingine. Kuishi na kumbukumbu ya ku'doo' na mzazi au dada ni ngumu mno kwangu. I'll be depressed and even jump off a building kabla ya siku zangu :hatari:. Utamwambiaje mzazi/dada, 'haya weka pozi nzuri mie nipo tayari!'. It's better to die with a bit of dignity in you than live perpetual shame
 
Hivi ni kitu gani kimekufanya uwaze haya??
Hii yaweza kuwa ni inidcation ya wewe kumtamani Mama/Dada zako.
Kwanini usingetoa mfano wa Dada kwa Kaka/Baba ukakimbilia kwa Mama/Dada.
Ukiendelea na mawazo yako haya machafu mwaka huu haukatizi lazima uwe chizi...
 
potelea mbali acha nife,kwan hiyo ni laana hata maandiko yanasema.soma mambo ya walawi 18:6 na kuendelea.hapo ndipo utapata jibu uchague nin.
 
nakumbuka sana hicho kipindi
hasa mapori ya geita kuelekea chato hadi ngara pamoja na njia ya kibondo.

It was crazy, lakini ndo ilikuwa hali halisi.
Sema kipindi hicho hakukuwa na media ya kufichua maovu hayo ila itwas so common.

Nakumbuka kuna baba mmoja alilazimishwa ku du na bintiye, baada ya siku 3 akajinyonga.

Mie siwezi mlaumu yeyote katika situation hiyo. We live once...
 
una vurugu maono ww kizazi hiki kaz kwelikweli
 
Mungu epushia mbali ushetan huu!kwan ni heri kufa tu aisee!ila jaman kwann uwaze mambo haya dah!
 
Reactions: LD
kwa mwanaume kama ukilazimishwa kuzini na mama yako, ukapata erection na kufanya penetration, basi unakuwa umekusudia kufanya hivyo, na ulikuwa unatamani siku kama hiyo ifike, kwanza hata kama ingekuwa ni mkeo kwa mazingira kama hao sidhani kama utapata erection. kwa hali ya kawaida lazima utaishia kupigwa risasi kwa sababu huwezi pata erection kwa mazingira hayo.
 
I would not accept that obscene act! Iwe kwa kuwekewa mtutu ama kubembelezwa..

And I believe I will escape death as well!
 

Kwa hiyo uliwahi kushuhudia yakifanyika hayo?
Uliwahi kuona wangapi wameuawa kwa kukataa?
 
Da! We jamaa ni muongo!
Ni kwamba mlikuwa mnavuliwa nguo zote, no matter upo na nani?
I have been their for almost eight years, working with those area as security officer!
 
Reactions: LD
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…