Ref: Upo tayari kufa au kufanyamapenzni na mama mzani au dada wa kuzaliwa naye

Hao watekaji mbwembwe zitawamponza, heri wangechukua tu mali na kuteleza, ningewapuuza, lakini si hayo maagizo ya kifedhuli, kwani wakiianza tu hiyo sentensi sijui kama wataimaliza wakiwa wamesimama au wamelala wakiwa hai.
 
Dav22,
nasikitika sana jamaa amenitukana sana to the extent yakuniambia namtamani mama yangu, Huenda ukweli wako ukasaidia kumwelewesha huyu jamaa.

haya yalikuw ayanatokea sio mtu kuwaza uchizi au nn...uliza watu wamikoa ya huko kagera na kigoma watakwambia mwana jamvi
 
Freud would diagnose an Oedipus complex on the part of the author of this thread.

And even though I tend to dismiss Freud as a fraud in most cases, in this one he would be justified.
 

Umesahau mkuu pamoja nakasulu kosovo hawa watu wametutesa sana bora waondoke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…