Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huyu Refa akiachwa atakuja kusababisha mauaji ya halaiki uwanjani .
Ile penati aliyowapa yanga ni ya uongo , na bila shaka alilenga kujiurahisha yeye binafsi na familia yake , haikuwa penati na badala yake alipaswa kumlambisha kadi yule Fei Toto kwa kujiangusha .
Marefa wa namna hii wanaua soka la Tanzania , watimuliwe haraka .