Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kauharibu mpira....leo tumebebwa sisi kesho tutakuja kuumizwa hivihivi....inasikitisha sana.Huyu Refa akiachwa atakuja kusababisha mauaji ya halaiki uwanjani .
Ile penati aliyowapa yanga ni ya uongo , na bila shaka alilenga kujiurahisha yeye binafsi na familia yake , haikuwa penati na badala yake alipaswa kumlambisha kadi yule Fei Toto kwa kujiangusha .
Marefa wa namna hii wanaua soka la Tanzania , watimuliwe haraka .
Mmeanza kudodosha point mtani, tukilibeba tena msimu msianze maneno maneno wakati mnabebwa hambebeki..Kauharibu mpira....leo tumebebwa sisi kesho tutakuja kuumizwa hivihivi....inasikitisha sana.
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Jamaa kaharibu ladha ya mpira wa ushindani......Mmeanza kudodosha point mtani, tukilibeba tena msimu msianze maneno maneno wakati mnabebwa hambebeki..
Mpira wa Tanzania kuendelea bado sana, na hawa marefa ndio wanaharibu mpira wetu maana wameathirika na majina ya timu kubwa Simba na Yanga.Jamaa kaharibu ladha ya mpira wa ushindani......
Tumeshawazoea baadhi ya marefa aina hiyo......
Mmeanza kubwata penalty za simba uwa mmevaa mask amzioni, yanga kafaidika na mkwaju wa penalt Kama simba inavyofaidikaga na marefa kwaiyo acheni utahaira wenu kunya anye bata akinya kuku anakuwa amekosea? Kaeni kimya pia kama mnavyoshereekeaga pindi mnavyopata penalt za kubumbaHuyu Refa akiachwa atakuja kusababisha mauaji ya halaiki uwanjani .
Ile penati aliyowapa yanga ni ya uongo , na bila shaka alilenga kujiurahisha yeye binafsi na familia yake , haikuwa penati na badala yake alipaswa kumlambisha kadi yule Fei Toto kwa kujiangusha .
Marefa wa namna hii wanaua soka la Tanzania , watimuliwe haraka .
Watu wanaongelea masuala yanayogusa mustakabali wa soka letu sasa wewe unaandika sijui vitu gani. ?Mmeanza kubwata penalty za simba uwa mmevaa mask amzioni, yanga kafaidika na mkwaju wa penalt Kama simba inavyofaidikaga na marefa kwaiyo acheni utahaira wenu kunya anye bata akinya kuku anakuwa amekosea? Kaeni kimya pia kama mnavyoshereekeaga pindi mnavyopata penalt za kubumba
Hakika komredi.....yaani jamaa wanatuharibia mpira wetu wa bongo mpaka kinyaa....daahMpira wa Tanzania kuendelea bado sana, na hawa marefa ndio wanaharibu mpira wetu maana wameathirika na majina ya timu kubwa Simba na Yanga.
Ndo nakuuliza iyo ndo penalty yako ya kwanza kuiona isiyo halali? Jibu ilo swali kwanza maana unajitahidi kujificha kwenye kichaka cha kujifanya unaegemea mustakabali wa soka letu wakati matukio mengine kama ayo unakaa kimyaa ndo tunapata wasiwasi na hoja yako unayoibuka nayo leoWatu wanaongelea masuala yanayogusa mustakabali wa soka letu sasa wewe unaandika sijui vitu gani. ?
Unafahamu maamuzi ya kipuuzi ya refaree yanaweza kusababisha hata machafuko uwanjani?
Inakatiasha morale timu ndogo kukua kisoka.
Tunasema; kunya anye kuku, akinya bata kaharisha
Mmeanza kubwata penalty za simba uwa mmevaa mask amzioni, yanga kafaidika na mkwaju wa penalt Kama simba inavyofaidikaga na marefa kwaiyo acheni utahaira wenu kunya anye bata akinya kuku anakuwa amekosea? Kaeni kimya pia kama mnavyoshereekeaga pindi mnavyopata penalt za kubumba
Hivi huyu kocha (nimesikia wanamuita Kipunje) ndiye yule kocha maarufu aliyekuwa akichezesha mechi za mchangani akiwa na silaha za jadi? π π π πHuyu Refa akiachwa atakuja kusababisha mauaji ya halaiki uwanjani .
Ile penati aliyowapa yanga ni ya uongo , na bila shaka alilenga kujiurahisha yeye binafsi na familia yake , haikuwa penati na badala yake alipaswa kumlambisha kadi yule Fei Toto kwa kujiangusha .
Marefa wa namna hii wanaua soka la Tanzania , watimuliwe haraka .
Huyu Refa akiachwa atakuja kusababisha mauaji ya halaiki uwanjani .
Ile penati aliyowapa yanga ni ya uongo , na bila shaka alilenga kujiurahisha yeye binafsi na familia yake , haikuwa penati na badala yake alipaswa kumlambisha kadi yule Fei Toto kwa kujiangusha .
Marefa wa namna hii wanaua soka la Tanzania , watimuliwe haraka .
Sitarajii kabisa kumuona akichezesha mechi yeyote ya premier league mpaka msimu unaisha, alichofanya ni ufala wa hali ya juu, kwamba yanga na Simba pekee ndizo zinazo stahili kushinda ?? .. huyu mbuzi lazima afungiwe kwa mustakabali mzuri wa soka letu ..