Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 1,115
- 2,464
Hii mwenyewe nimeiona nkajua labda ni mabadiliko yamefanyika na FIFA labda.Saido kabla ya kupiga mpira wachezaji kadhaa wa Yanga na Namungo walikuwa ndani ya eneo la penati, mimi nlijua jamaa atasema irudiwe,gafla naona anasema goli na mpira upelekwe kati.Huyu refa kama si shabiki wa Yanga basi atakuwa hakuwa vizuri kichwani1. Penati feki.
2. Penati inapigwa huku kukiwa na Wachezaji watano ndani ya Box la kumi na nane na Refa ni wa Sita.
Nadhani Marefa wanaiogopa Yanga.
Hii sio kawaida.
Hapo cha msingi ilikuwa Yanga wapate goli tu basi.Hivi penati gani wachezaji na refa wote wapo ndani ya 18View attachment 2017820
Naskia kaisha chezea ngumi ya kidevu tayariKwanza nawalaum Namungo kwann Hawakumpa Gumi zito Refa ili ijulikane tu Ligi hii inaendeshwa kipumbavu
Huyu refa lazima atafungiwa kwa miaka 3 ili njaa zake zimuue kabisa; mbwa mkubwa!1. Penati feki.
2. Penati inapigwa huku kukiwa na Wachezaji watano ndani ya Box la kumi na nane na Refa ni wa Sita.
Nadhani Marefa wanaiogopa Yanga.
Hii sio kawaida.
Kuna baadhi ya mikoa,Kwa maamuzi ya hovyo kama ya Leo,asingetoka Uwanjani bila karandinga la polisi.Ukitaka kuvunja Amani kirahisi,cheza kijinga na hisia za watu. Kwanza sijui anajisikiaje huko aliko na familia yake.TFF tunasubiri maamuzi yenu.Huyu Refa akiachwa atakuja kusababisha mauaji ya halaiki uwanjani .
Ile penati aliyowapa yanga ni ya uongo , na bila shaka alilenga kujiurahisha yeye binafsi na familia yake , haikuwa penati na badala yake alipaswa kumlambisha kadi yule Fei Toto kwa kujiangusha .
Marefa wa namna hii wanaua soka la Tanzania , watimuliwe haraka .
Unauliza maswali ya kitoto sana.Ndo nakuuliza iyo ndo penalty yako ya kwanza kuiona isiyo halali? Jibu ilo swali kwanza maana unajitahidi kujificha kwenye kichaka cha kujifanya unaegemea mustakabali wa soka letu wakati matukio mengine kama ayo unakaa kimyaa ndo tunapata wasiwasi na hoja yako unayoibuka nayo leo
Bahati mbaya timu zingine zote hazina mashabikiKuna baadhi ya mikoa,Kwa maamuzi ya hovyo kama ya Leo,asingetoka Uwanjani bila karandinga la polisi.Ukitaka kuvunja Amani kirahisi,cheza kijinga na hisia za watu. Kwanza sijui anajisikiaje huko aliko na familia yake.TFF tunasubiri maamuzi yenu.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Achana nae kuna watu wana mavi kwenye vichwa vyao. Kwenye mpira hakuna double standard watu tuna hasira na uchungu na soka letu tuna wadogo zetu wanacheza mpira wana ndotoUnauliza maswali ya kitoto sana.
Kwa hiyo km ziliwahi kutokea nyingine ambazo si halali basi ni halali kila refa kutoa au kuamua penati atakavyo. Na kwamba iwe ni jambo la kawaida.
Umeanza ushabiki wa mpira leo? Malalamiko kuhusu waamuzi yameanza leo?
Tumia akili kabla ya kupost.
Na kushangazaInasikitisha sana
Yani hii ndo ilikuwa penalti?,mbona Kuna nidhamu fulani imekosekana hapo au Kuna kanuni na sheria mpya, au Mimi sijui sheria...Hivi penati gani wachezaji na refa wote wapo ndani ya 18View attachment 2017820