Refa anayechezesha gemu ya Mamelodi vs Atletico de Luanda anajaribu kuwatengenezea mazingira Al Ahyl ya ubingwa

Refa anayechezesha gemu ya Mamelodi vs Atletico de Luanda anajaribu kuwatengenezea mazingira Al Ahyl ya ubingwa

Kilimbatz

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
4,331
Reaction score
5,865
Dakika ya nne ya mchezo tayari keshatoa kadi nyekundu kwa mchezaji wa Mamelodi

Beki wa Mamelodi ndiyo alicheza faulo ila haikustahili straight red card

Tunajua Al ahyl hana ujanja mbele ya mume wao Masandawana

Huwa tunajipigia nje ndani

Refa tunakuangalia kwa jicho la mwewe

Ombeno Mamelodi tusivuke hatua hii
Screenshot_20231024-195512_Chrome.jpg
 
Kadi nyekundu inatolewa na refa kwa sheria za soka

Zama hizi kuna VAR.

Mpaka mtu anapewa kadi nyekundu ya moja kwa moja.. kuna jambo baya amelifanya.

Hii haiuhusiani na Al ahly kubebwa.

Mwaka jana kwenye robo fainali ya Caf champions league Petro atletico alimtoa mamelodi south africa.

Je na mwaka jana mamelodi alionewa ?

Al ahly angekuwa anabebwa angepewa magoli mawili aliyoyafunga leo refa akayakataa

Na penalty angepewa katika ile mechi ya Dar refa aliyoenda kuitazama VAR.

Tuache kutafuta excuse za kutupia wengine lawama kwa makosa yako
 
Hayatuhusu kwa sasa...
Wana bahati sana hao wasandawana Simba ilivyo ya moto wangekufa aisee wacha watolewe tuu..

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Wewe nilishakuambia uhamie yanga Achana makolo utapata ugonjwa wa moyo bure
 
Back
Top Bottom