TUJITEGEMEE JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 25,225 Reaction score 25,488 Mar 14, 2017 #1 Shabiki mmoja akiwa na Nondo ndefu alivamia uwanja 'kumshughulikia' mwamuzi! Ila nimeshangazwa na Askari walivyomshughulikia. Imetokea hivi majuzi. Nisikuchoshe, tazama na soma mwenyewe. ----- Source:Armed Croatian hooligan invades pitch in bid to attack referee (VIDEO)
Shabiki mmoja akiwa na Nondo ndefu alivamia uwanja 'kumshughulikia' mwamuzi! Ila nimeshangazwa na Askari walivyomshughulikia. Imetokea hivi majuzi. Nisikuchoshe, tazama na soma mwenyewe. ----- Source:Armed Croatian hooligan invades pitch in bid to attack referee (VIDEO)
Bob12 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2017 Posts 11,422 Reaction score 58,790 Mar 14, 2017 #2 TUJITEGEMEE said: Shabiki mmoja akiwa na Nondo ndefu alivamia uwanja 'kumshughulikia' mwamuzi! Ila nimeshangazwa na Askari walivyomshughulikia. Imetokea hivi majuzi. Nisikuchoshe, tazama na soma mwenyewe. ----- Source:Armed Croatian hooligan invades pitch in bid to attack referee (VIDEO) Click to expand... Inaonyesha alikua anatafuta kiki huyo
TUJITEGEMEE said: Shabiki mmoja akiwa na Nondo ndefu alivamia uwanja 'kumshughulikia' mwamuzi! Ila nimeshangazwa na Askari walivyomshughulikia. Imetokea hivi majuzi. Nisikuchoshe, tazama na soma mwenyewe. ----- Source:Armed Croatian hooligan invades pitch in bid to attack referee (VIDEO) Click to expand... Inaonyesha alikua anatafuta kiki huyo
Stand alone Member Joined Feb 27, 2017 Posts 64 Reaction score 153 Mar 14, 2017 #3 Mbona mi nimeona alikuwa anatembea tu