mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 630
- 2,151
Referee wa Tanzania ndugu Arajiga ndie referee katili na asiyetaka masihara na kazi yake hapa bongo ..
Huyu jamaa nilianza kumuogopa nakumuona nuksi ile Siku alipomlima kitasa Ibrahim Bacca kadi nyekundu dakika ya 16 mchezo kati ya Bingwa wa mabingwa , nguli wa soka la bongo "Yanga" " Azam fc"
Ukweli nilipomuona pilato Arajiga pale kati, nilijua kabisa gemu ya Leo dhidi ya mbumbumbu wenzetu Azam efusii imeshakua ngumu.
Hasa ukizingatia sisi Simba sc ni timu ya kuanzia ngazi ya uongozi , benchi la ufundi mpaka sisi mashabiki maandazi ..
Sisi Simba hatuwezi kushinda bila msaada wa marefa ,sababu tuna wachezaji vinyambe wanaokimbiakimbia uwanjani chezaji kama Ateba limejaa kama kiroba cha viazi litatufikisha wapi ? .
Arajiga ameifanya kazi yake vizuri na Siku ya dabi ,Yanga Africa wafalme wa soka la bongo watatupelekea moto sisi makolo mpaka maji tutaita mmaa!!