Refa kutunyima Penati ya wazi: Wazee wa Simba watoe tamko.

Refa kutunyima Penati ya wazi: Wazee wa Simba watoe tamko.

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
Kwanini refa ametunyima penati? Baada ya kipa kupata kadi mbili za njano ilibidi tupate penati ili kufidia dakika zetu.

Yani alivyotoa kadi yapili ya njano angetenga mpira kwenye box, na azuie mtu yeyote kukaa golini ili mutale afunge tuongoze ligi.

Kwa maamuzi haya ya leo ya refa wazee watoe tamko la kung'oa viti mechi ijayo ikiwa tutanyimwa penati walau 2.
 
downloadfile-95.jpg
 
Back
Top Bottom