Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Sasa hapo kwenye "atakazo SAMIA'"...Tumeamua Sasa kukomesha tabia za kuhongwahomgwa.
Tunatambua kuwa GSM walikulipia mahari na kukolea Mke. Kisha GSM waligjaramia harusi Yako.
Mkataba wako na GSM ni kuhakikisha mechi zote za Simba utakazo Samia basi Simba wasishinde.
Sasa nakupa Taarifa kuwa tumeamua klilia Mungu.
JIANDAE kwa Majibu makali sana.