Emmanuel Mwandembwa amefungiwa miezi 6 baada ya kushindwa kumudu mchezo kati ya Yanga na Coast Union
Refa huyo alifanya matukio ya kutatanisha yakiashiria kuwa alipokea bakshish kutoka kwa WALOZI WA JANGWANI..
matukio hayo ni pamoja na kushindwa kutafsiri vema sheria 17 za soka kwa kumpa kadi nyekundu Khalid Aucho aliyempiga kiwiko mchezaji mwenzake na yeye akiona kwa macho yake mawili...
Lakini pia kumpa kadi ya njano mtu asyestahili kupewa kadi hiyo...
TFF imemfungia pia mchezaji Aucho kwa tukio hilo la hatari,
Utopolo kutwa mnashinda kulalamika hapa jukwaani kuwa TFF inawaonea wakati nyinyi ndio mnabebwa na hiyo TFF ,
Emmanuel Mwandembwa amefungiwa miezi 6 baada ya kushindwa kumudu mchezo kati ya Yanga na Coast Union ,
Refa huyo alifanya matukio ya kutatanisha yakiashiria kuwa alipokea bakshish kutoka kwa WALOZI WA JANGWANI..
matukio hayo ni pamoja na kushindwa kutafsiri vema sheria 17 za soka kwa kumpa kadi nyekundu Khalid Aucho aliyempiga kiwiko mchezaji mwenzake na yeye akiona kwa macho yake mawili...
Lakini pia kumpa kadi ya njano mtu asyestahili kupewa kadi hiyo...
TFF imemfungia pia mchezaji Aucho kwa tukio hilo la hatari,
Utopolo kutwa mnashinda kulalamika hapa jukwaani kuwa TFF inawaonea wakati nyinyi ndio mnabebwa na hiyo TFF ,View attachment 2818984
Kwani Aucho alipewa kadi nyekundu siku ile maana sijaelewa vizuri uandishi wako, au alishindwa kumpa kadi nyekundu Aucho? Hata hueleweki ulichoandika, labda soma tena ulichoandika.

Mkiambiwa HAMNA AKILI mnalalamika,soma tena uelewe...nimeandika....REFA AMEADHIBIWA KWA KUSHINDWA KUMPA KADI NYEKUNDU KHARID AUCHO ...(yaani tukio lile ilitakiwa refa atoe kadi nyekundu ya moja kwa moja Aucho ili asiwepo mchezoni badala yake akampa kadi ya njano ili aendelee kuwepo kutimiza maagano na viongozi wa utopwax)
Umeelewa sasa?