Refa wa kike asababisha mpira gumzo Brazil

nauhakika hakuna mpira wa maana uliochezwa.
 
Ila wanaume na nyie mnafadhaika haraka!!! mbona mie naona kawaida tu
nature ina talk mama ungelikuwa me ungejionea tena hapo usikute wachezaji walikuwa wanadind.. vitu vyengine tukiona vinaamsha taarifa ya hbr
 
nature ina talk mama ungelikuwa me ungejionea tena hapo usikute wachezaji walikuwa wanadind.. vitu vyengine tukiona vinaamsha taarifa ya hbr
Du! poleni wapendwa kumbe mnateseka hivyo!!!!!!
 
Reactions: BAK
Du! poleni wapendwa kumbe mnateseka hivyo!!!!!!
ndo maana wengine hubaka! (hapa nasemea wale wanaobaka kwa msukumo si kukusudia)
mwili wa mwanadamu una misingi yake(sheria,misukumo)
sheria ili ifuatwe lzm kuwe na nguvu yakupush ili itekelezwe,ni sawa na kula ni kama sheria njaa ndio msukumo wa wewe kula.. sasa mda mwengine nguvu ya sheria hizi adhimu hushinda maamuzi ya ufahamu nakujikuta ukitenda ndivyo sivyo!
 
Huku kwetu wangekuwepo hata madaktari wa kike viwanjani nisinge give up on soccer


Yaani ningekuwa na banwa misuli kila saa nichuliwe chuliwe tu..

Kipindi Eva Carneio akiwa pale Chelsea Hazard na Ivanovic kila mda wakiguswa kidogo tu wanagalagala kama wamechomwa kisu. Mpaka viwango vikashuka Mourinho akaamua kuanzisha bifu na doctor mwishowe doctor akasepa..
 
Photogenic, Mbona Tanzania kuna Yule lefa mwanamke na kajaaliwa Kweli anachezesha kati
 
Jiunge na group la whatsap la betting lenye members zaidi ya watu 130 upate mikeka ya uhakika na ushauri mzuri kuhusu mechi na company za betting. Kujiunga ni bure na ushauri na mikeka yote ni bure. Linki iyo hapo chini.<br /><br /><br /><br />Betting only
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…