wakimataifa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 942
- 168
Hata wewe ungekuwa refa pale ungekuwa kwenye dilemma, utoe penati au usitoe, kumbuka refa alikuwa nyuma, yule beki akajiroga akaingiza mguu, akaukosa mpira na yule jamaa akamgusa kidogo na yeye kuhisi tu ameguswa jamaa akaenda mazima chini, refa hakuwa na lingine zaidi ya kutenga tuta. Penati za hivyo zinatokea sana na sio Africa tu, hebu jaribu kukumbuka Ashley Young alivyoiletea penati nyingi Man United.kweli africa bado mpira sana kwa mpira wa tunisia na guinea hana tofauti na marefa wa tanzania
pernati waliopata guinea si halali kabisa
nawauliza caf kama timu hamzitaki kucheza si mzijulishe tu
kweli africa bado mpira sana kwa mpira wa tunisia na guinea hana tofauti na marefa wa tanzania
pernati waliopata guinea si halali kabisa
nawauliza caf kama timu hamzitaki kucheza si mzijulishe tu
Acha ujinga wewe kwani webb anavokuwa anawabeba manyure ni mwafrica!?
Si nasikie huyu refa ndo yule ambae alichezesha game la simba vs mbeya city na akawapatia simba penati ya mbeleko mbeleko. Hiyo ndo Afrika kila kitu kinaenda kisiasa siasa ndugu.kweli africa bado mpira sana kwa mpira wa tunisia na guinea hana tofauti na marefa wa tanzania