Referees kwenye kusoma masters

Referees kwenye kusoma masters

GIANT90

Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
46
Reaction score
24
Habari wana jamvi, poleni na hongereni kwa majukumu ya ujenzi wa nchi. Naomba msaada wenu kwa mwenye uzoefu kuhusu recommendations za referees kwenye fomu ya maombi ya kusoma shahada ya uzamili (masters) Je? Mfano hawajarecommend kuna uwezekano wa kukosa udahili?
 
Ndio lazima wa ku recommend ndio uwe consider.
 
Ni chuo gani?
Maana vingi recommendation inafanyika kupitia mfumo huohuo wa maombi wa chuo husika.
 
Back
Top Bottom