Sakoyo Senior Member Joined Aug 23, 2010 Posts 135 Reaction score 7 Apr 22, 2012 #1 Wakuu naomba kusaidiwa kujua ni nini maana halisi ya "Reference letter" kama inavyotumiwa sana na watu au makampuni yanayotafuta wafanyakazi, pls hebu shea nami...
Wakuu naomba kusaidiwa kujua ni nini maana halisi ya "Reference letter" kama inavyotumiwa sana na watu au makampuni yanayotafuta wafanyakazi, pls hebu shea nami...
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,855 Reaction score 24,925 Apr 22, 2012 #2 Search humu kuna thread inaongelea kinaga ubaga
Sakoyo Senior Member Joined Aug 23, 2010 Posts 135 Reaction score 7 Apr 22, 2012 Thread starter #3 King'asti said: Search humu kuna thread inaongelea kinaga ubaga Click to expand... Niwekee link basi, take a little trouble
King'asti said: Search humu kuna thread inaongelea kinaga ubaga Click to expand... Niwekee link basi, take a little trouble