Reflection: Mahusiano, Mapenzi na Urafiki - Tunaelekea wapi?


unajua nini fab mpenzi kinachoharibu hili jukwaa ni malumbano na si mada. Ninavyosema mtu usichangie mada inayokukera namaanisha kwa kukereka kwako unaweza mjibu mtu vibaya matokeo yake ukachafua hali ya jukwaa kitu ambacho si kizuri so bora nini uchangie mkerane na watu au ukae kimya uipotezee tu. Mimi naamini hakuna mtoto humu kila anaeingia ni mtu mzima na akili zake na anajua nini anachokifanya sasa huwezi kumlazimisha mtu apende unavyotaka wewe cha msingi mada zinazopostiwa vibaya watu wakiwa wanaziignore sidhani kama mtu atapost tena kitu cha aina hiyo hata yeye mwenyewe ataona kabisa amedharauliwa.

Mimi sikatai mtu kuchangia popote kila mtu anauhuru wa kuchangia popote ila usimkere mwenzio na matokeo kuchafuliana hali ya hewa hebu tufanye hapa ni sehemu ya kufurahi jamani kitu ambacho kila anaeingia humu anakitarajia (NDIO MAANA TUNASHAURI HATA KAMA UNAKEREKA NA THREAD ACHANA NAYO) hilo litasaidia sana NI MAWAZO YANGU TU KAMA NITAKUA NIMEKUKWAZA SINA NIA HIYO
 
we huwezi fanya infidelity bana kwakuwa HUNA NDOA!
we unafanyiwa
 

maty hizi keyboard hizi!!!!!!!!
 
Hakuna anayekubali kuwajibika. Watu wanakuwa dismissive. Eti kama hupendi usiingie....kama ni hivyo basi asilalamike mtu kuhusu current state ya hili jukwaa maana ukiona mada ambayo kwako haina mshiko unaipotezea tu!
 
napatikana kanisani... Unakaribishwa kwenye mkesha si unajua hiki kipindi cha maajilio...



Sasa??? Hiyo avatar ndio reflection yako?

Merry xmas

hii avatar ni reflection ya avatar, nitakuja kukesha na wewe
 
Wamechakachua!! Hakuna reflection...
Actually i am going to report each post iliyochakachua iwe deleted... very simple!!!

as grown ups we can sing the same chorus in every song regardless...

Reflection is here to stay and in any growing istitution, reflections is a sign of a community living in harmony and understanding of different dynamics that makes the world a better place

I prepared myself for this one
 

Wise action...
I support u!
 
Nimekuwa nakwera na topics za kipuuzi humu. Ila leo mmenichekesha sana baadhi yenu mmekuwa wachangiaji wakubwa wa topics hizo lakini leo mnajifanya kuponda, WANAFIKI wakubwa nyie. Namshukuru Teamo kwa kutokuwa mnafiki na mkimbia kivuli chake. MMU itakuwa salama tu baadhi yenu mkiacha unafiki na ufedhuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…