Nimekuwa nakwera na topics za kipuuzi humu. Ila leo mmenichekesha sana baadhi yenu mmekuwa wachangiaji wakubwa wa topics hizo lakini leo mnajifanya kuponda, WANAFIKI wakubwa nyie. Namshukuru Teamo kwa kutokuwa mnafiki na mkimbia kivuli chake. MMU itakuwa salama tu baadhi yenu mkiacha unafiki na ufedhuli
Actually i am going to report each post iliyochakachua iwe deleted... very simple!!!
as grown ups we can sing the same chorus in every song regardless...
Reflection is here to stay and in any growing istitution, reflections is a sign of a community living in harmony and understanding of different dynamics that makes the world a better place
I prepared myself for this one
So?Aisee those are very serious accusations....
dude... Nimeanza likizo basi raha tupu stress free life is always good for health
naelekea tanga sijui kuna mwanajf gani kule tupate dina pamoja
Careful with how u present ur judgements, kama una hoja please present it politely, hujafurahishwa na kitu kindly report it to mods-thats what we all do,
Lakini wote tukisema tuanze attacks kwa yale yote yanayotukera hii haitakuwa forum inayoheshimika tena, si vibaya pia kama ukapitia tena JF Rules.
Dude... Nimeanza likizo basi raha tupu stress free life is always good for health
Naelekea Tanga sijui kuna mwanaJF gani kule tupate dina pamoja
Tanga Raha........
Actually i am going to report each post iliyochakachua iwe deleted... very simple!!!
as grown ups we can sing the same chorus in every song regardless...
Reflection is here to stay and in any growing istitution, reflections is a sign of a community living in harmony and understanding of different dynamics that makes the world a better place
I prepared myself for this one
What's the fuss all about
Dude... Nimeanza likizo basi raha tupu stress free life is always good for health
LOL is this supposed to be a first warning baby Smiles?
LOL is this supposed to be a first warning baby Smiles?
Mwenyekiti wa mambo ya nje....(Acc to Askofu)!! I could barely warn a cat itakuwa binadamu mwenzangu...? Nilikuwa namkumbushia tuu coz Mods 1 & 2 are watchin...
I missed u by the way-whr were u?
Niki-extend hiyo avatar yako napata picha ya msichana mrembo arms akimbo.....
Mwenyekiti wa mambo ya nje....(Acc to Askofu)!! I could barely warn a cat itakuwa binadamu mwenzangu...? Nilikuwa namkumbushia tuu coz Mods 1 & 2 are watchin...
I missed u by the way-whr were u?
Mwenyekiti wa mambo ya nje....(Acc to Askofu)!! I could barely warn a cat itakuwa binadamu mwenzangu...? Nilikuwa namkumbushia tuu coz Mods 1 & 2 are watchin...
I missed u by the way-whr were u?
i cant be a coward to that extent, kuheshimika kwa jukwaa hakuambatani na kuogopana kuambiana ukweli. Sheria na taratibu za JF nazitambua na kuzifuata pia. Wacheni kupambanapambana hapa kinafiki wakati baadhi yenu ndio wenye comments chafu leo hii mnafanya tathimini za kinafiki. Mods kama kuna kuna BAN kwa member kusema ukweli then i dare to say am here for itCareful with how u present ur judgements, kama una hoja please present it politely, hujafurahishwa na kitu kindly report it to mods-thats what we all do,
Lakini wote tukisema tuanze attacks kwa yale yote yanayotukera hii haitakuwa forum inayoheshimika tena, si vibaya pia kama ukapitia tena JF Rules.
we huwezi fanya infidelity bana kwakuwa HUNA NDOA!
we unafanyiwa
sasa Fab humu umekuja punguza stress au kuongeza mbona mgomvi ivo dada yapi yanayokusibu