Reflection: Mahusiano, Mapenzi na Urafiki - Tunaelekea wapi?


Hapo ndiyo ninapotofautiana na watu wengi akiwamo wewe. Hii tabia ya kuficha mambo ambayo tunaishi nayo uvunguni ni hatari kuliko hata hayo maovu yenyewe. Hatutaki kujadili infidelity, ukahaba, utoaji mimba n.k lakini tunataka kuendelea na maisha yanayotumia nyenzo hizo au kuleta hayo matoke. That's very wrong and pathetic in deed!
 
Hapa unachangia na mtu unakua stressed.......
BRB
 
Asante kaka Acid kwa kutukumbusha....we were getting out of the whole MMU forum context and we needed to be reminded of that. Binafsi, i treasure so much jukwaa hili, it has had positive impact in understanding the mahusiano part and mapenzi and all that. lakini of late its kind of drifting away into a total different direction....the right threads are being posted on wrong forums....

Infidelity subject (Teamo's favorite subject) hata sijui nachanganyikiwaga nikisoma naishia kubeleive what i know deep in my heart.

Lakini ile mizaha ya MMU isiachwe tafadhali na mie naletaga mizaha sana mtanisamehe ila ndo hivyo. iwe tu kwa kiasi kama Dark City alivyosema you read, you laugh, you go on happily.

Thanks again Acid and WOS and MJ1(especially for sharing your experiences with us although it wasnt easy to figure out that it was true on your part but you did share).
 
MSISITIZO:tunapenda kujadili DOWANS,EPA,IPTL n.k
 
ha ha ha ha!
haya bwana


yeah kani nimeona hizo sheria mmejiwekea wanandoa na mimi sijaoa wala kuolewa so sifanyi infidelity nafanya nafanya nafanya naona haina jina hii
 
 
Tatizo naona tunajipa jukumu la kuamua ipi ni dhambi bora!
YAH!
lakin pia napata shida wakati mwingine kujadiliana na watu humu ndani......!kuna kitu huwa sielewi kabisa,WATU HAWATAKI KABISA HATA KUSIKIA UKWELI WA KINACHOTOKEA KWENYE MAISHA YA KILA SIKU!
 
yeah kani nimeona hizo sheria mmejiwekea wanandoa na mimi sijaoa wala kuolewa so sifanyi infidelity nafanya nafanya nafanya naona haina jina hii
hahaha ngoja nikachekee nje kweli hapa umenena!
 
Teamo, hivi infidelity ni kwa wanandoa tu sio au??

Mdogo wangu JS, hebu pitia pitia hizo rule zao hata kama huzipendi au hutazitumia ili uone mavituzi ya majinias wetu.

Ila hapa chini mjukuu wangu katoa msaada!

yeah kani nimeona hizo sheria mmejiwekea wanandoa na mimi sijaoa wala kuolewa so sifanyi infidelity nafanya nafanya nafanya naona haina jina hii
 
Teamo, hivi infidelity ni kwa wanandoa tu sio au??
FOR REAL!
kama huna ndoa hiyo haiwezi kuwa infidelity....!
INFIDELITY ni muunganiko wa dhambi mbili:1)-zinaa 2)-kutokuwa mwaminifu kwa mwenzi wako.

sasa kama huna ndoa hatuwez sema unafanya infidelity.utakuwa unafanya ZINAA (ambayo ni part ya MAZOEZI)
 
 
YAH!
lakin pia napata shida wakati mwingine kujadiliana na watu humu ndani......!kuna kitu huwa sielewi kabisa,WATU HAWATAKI KABISA HATA KUSIKIA UKWELI WA KINACHOTOKEA KWENYE MAISHA YA KILA SIKU!

Nadhani tunataka kuendekeza tabia za kizamani za kutotaka kujadili mambo ya maumbile hadharani. Tunataka kuendelea kuwaeleza watoto wetu kuwa watoto wachanga tunawanunua hospitali. Na wakiuliza zaidi tunawachapa!!

Taratibu mkuuu naamini tutafika tu!
 
ANAEAMINI KWAMBA HAFANYI INFIDELITY (hapo juu) AKIRI WAZI WAZI KWENYE HII MADA!......
Dogo, you missed the point one is trying to address'

infi ipo kwenye Bible, Quran, na maandiko yote hata ya kimila... it is there and practiced hata na wanyama, and probably wadudu pia... naomba post yangu isiwe kwamba nasema tusiongelee infii

nimetoa mfano wa mtu anakuja kusema lazma apigwe tigo everyday, in actuall facts mtu wa namna hiyo kisayansi atakua amemaliza epithelium na kuanza kula nyama yake which is next to impossible

My point ni kwamba tupeane habari za kusaidiana, kujengana na hata kuwa innovative kwenye infidelity (if neccesary)

Kuna thread alianzisha asprin ya infi was very educative... kuna thread nilianzisha mimi ya kuchezea koki was not na ikapelekwa jukwaa la wakubwa... that is what i mean

DONT KILL THE MESSENGER BUDDY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…