Reflection: Mahusiano, Mapenzi na Urafiki - Tunaelekea wapi?

aisee leo nitakuja chemba
 
heshima mbele mkuu... ndio maana nikasema reflection, maana yake tutafakari na nimeupenda sana mwongozo wako

You earned you General portfolio mkuu
 
 
Originally Posted by NOT ENOUGH

Mimi naishi na wazazi wangu hivyo muda wa kumegwa naona kama hautoshi. Huwa napenda kila siku nifanye mapenzi hiyo ndo hobby yangu.

Sifa za mume.

1. Awe na uume mkubwa na mrefu ili nitosheke
2. Awe na uwezo wa kunipiga angalau bao 2 (kama mgonjwa nitavumilia)
3. Asiwe na kipato kikubwa kwani hao wanasumbua, wanakua busy atasababisha nitoke nje ya ndoa.
4. Akubali tuwe tunaishi wenyewe tu kwani huwa nina makelele sana wakati wa kufanya mapenzi.

Mimi nimesoma hivyo naamini nitapata kazi nzuri na tuta enjoy maisha na mume wangu

Karibu



SASA BWANA ACID,
Huyo dada alichokosea ni kuweka hiyo post hapa kwenye MMU?au kuna jingine?
 
aisee leo nitakuja chemba
karibu sana, i hvae nice blue label sent by a friend from scotland

just come with an ice bag so that we can enjoy... ntaagiza mchemsho wa kuku swafi na dr atakuwepo pia
 
 

Usijali Acid,

Si kila mtu anaguswa na kila kitu unachoandika. Unaweza kukuta mtu anachukua neno moja kati ya 1000 na analifanya kuwa issue kubwa. Hata hivyo kwenye post yako na zilizofuatia, ilionekana kuwa mijadala ya infidelity ndiyo central issue inayojadiliwa. Mimi nilitaamani tujadili mambo mengi yanayokwenda mrama kwa ujuma wake. Mdogo mgodo naamini tutafika.

Halafu wengi wetu tunakuwa na mtazamo kama wa Maty...Hebu msome hapa chini!

 
dogo dont be subjective, that was one example

kumbuka ile ya tigo tuliomba ihamishwe mkuu

you are mature enough to understand what i mean but if you argue for argument sake basi endelea coz i cant
 
dogo dont be subjective, that was one example

kumbuka ile ya tigo tuliomba ihamishwe mkuu

you are mature enough to understand what i mean but if you argue for argument sake basi endelea coz i cant
hebu tuliza maruhani wewe!
hebu tukijadili ulichokirusha kama mfano,tuachane na simu!mi niambie hapo KOSA LA NOT ENOUGH NI LIPI?
 
dogo dont be subjective, that was one example

kumbuka ile ya tigo tuliomba ihamishwe mkuu

you are mature enough to understand what i mean but if you argue for argument sake basi endelea coz i cant

Acid, nitakuwa sahihi kusema haya?

1. Infidelity kujadiliwa JF si tatizo kubwa la kimaadili kwani kuna washabiki na wengine wanafanya hayo mambo ya uzinzi ambayo ni matatizo makubwa ya kimaadili kuliko kujadili.
2. MMU ni sehemu muhimu kwa bwaadhi ya watu ambao wanapatumia kutuliza nyoyo zao na akili zao ili mradi wasiwakwaze wenzao
3. Tujitahidi kutumia lugha ya kistaarabu ili tusikwazane.
4. Tusaidiane kuwajulisha Mods ili thread zilizopita viwango vya MMU zihamishiwe mahali pake
5. Watu wengi hapa JF tunatamani kupata vitu vingi sana kwa kupanua uelewa wetu ila vitusaidie kutupa furaha, raha na amani.

DC
 
copy that!
 
Hapa kinachotakiwa na wadau ni kuweza kuwa na uwezo wa kupembua kipi kimekaa kimzaha na kipi siriaz....
Binafsi siridhishiw na thredi nyingi zinazokosa muelekeo/staha.....nyingine ziko so immature....
Hivi kuna wadau wanaoshindwa kuchambua pumba na mchele hapa MMU?
 
AISEE,
ile namba ya simu ulipata?
 
Roger that st RR
 

Hahahaha mkuu umenichekesha mpaka basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…