Refresh kidogo na old skul ukifikiria jinsi umri wako unavyoenda kwa kasi

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
349
Reaction score
1,024
Greetings wanajukwaa.

Leo nilikuwa nasikiliza Album ya Lady Jay dee inaitwa SHUKRANI nikakoshwa sana na nyimbo mbili moja namba 4 na namba 9

4. Mwanaume hana dawa - lady jay dee

Na hii hapa chini inaitwa usikatae lady jay dee ft Various artist

View: https://youtu.be/8hhRee7ZoY4?si=lP2XoLVCHWk4WhID

Nawatakia Dabi njema, Kumbuka Baraka mpenja kesho atakuwa anatangaza Dabi ya 15 tokea ameanza utangazaji.

YANGA BINGWA.

Ahsante.
 
Umetisha sana mkuu 🙏🙏🙏
 
Nashukuru sana kwa wimbo huo wa lady jaydee Ila nafurahi kwakuwa umemtaja mpenja .
Leo asubuhi nilikuwa na baba yake mzee Adson Mpenja kwenye gari la mdogo wake bwana Sixtus Mpenja linalofanya safari zake kutoka Mlowo ya umalila mpaka mbalizi tumezungumza mengi Ila kubwa ni kuhusu derby na zaidi kuniuliza Kama nimeoa maana anao mabinti wengi pale kwake .

Mengine sitayasema maana ni ahadi baada ya derby Ila nitarejea hapa kuwajulisha either nimepewa mke au Corolla yangu imetobolewa tairi ,kikubwa niombeeni Mimi mzaramo wa kijijini
 
muhimu zaidi YANGA BINGWA
 
😆 😂 😆 😂 😆
 
wewe nimzaramo ,hongera unajitahidi unajua hata kusoma na kuandika umri huo mana changamoto
 
Hii ni Vita kwahiyo wazaramo hatujui kusoma ? Kwamba hatujaenda shule ? Kwamba vipi ndugu aisee nielekeze sijaelewa kabisa .
Ndiyo mimi ni mzaramo
mabadiliko makubwa mkuu ,yanaonekana lakini nimeuliza Ngoma zimepungua nimejobiwa mmehamishwa mko kisarawe
 
Anhaa ni kweli Kaka familia nyingi za pangu pakavu wamekimbilia huko kisarawe ,kuhusu ngoma haziwezi kuisha hata kidogo japo Kuna wakuja wanapewa mamlaka wanajitahidi kupambana na tamaduni zetu Ila Insh'Allah watashindwa wao
 
Usiogope mkuu ,hatambeya hapa wenye mbeya Yao WASAFWA walishahamishwa kimbia kabisa wako milimani kabisa
 
Back
Top Bottom