Umetisha sana mkuu πππGreetings wanajukwaa.
Leo nilikuwa nasikiliza Album ya Lady Jay dee inaitwa SHUKRANI nikakoshwa sana na nyimbo mbili moja namba 4 na namba 9
4. Mwanaume hana dawa - lady jay dee
Na hii hapa chini inaitwa usikatae lady jay dee ft Various artist
View: https://youtu.be/8hhRee7ZoY4?si=lP2XoLVCHWk4WhID
Nawatakia Dabi njema, Kumbuka Baraka mpenja kesho atakuwa anatangaza Dabi ya 15 tokea ameanza utangazaji.
YANGA BINGWA.
Ahsante.
Nashukuru sana kwa wimbo huo wa lady jaydee Ila nafurahi kwakuwa umemtaja mpenja .Greetings wanajukwaa.
Leo nilikuwa nasikiliza Album ya Lady Jay dee inaitwa SHUKRANI nikakoshwa sana na nyimbo mbili moja namba 4 na namba 9
4. Mwanaume hana dawa - lady jay dee
Na hii hapa chini inaitwa usikatae lady jay dee ft Various artist
View: https://youtu.be/8hhRee7ZoY4?si=lP2XoLVCHWk4WhID
Nawatakia Dabi njema, Kumbuka Baraka mpenja kesho atakuwa anatangaza Dabi ya 15 tokea ameanza utangazaji.
YANGA BINGWA.
Ahsante.
muhimu zaidi YANGA BINGWAGreetings wanajukwaa.
Leo nilikuwa nasikiliza Album ya Lady Jay dee inaitwa SHUKRANI nikakoshwa sana na nyimbo mbili moja namba 4 na namba 9
4. Mwanaume hana dawa - lady jay dee
Na hii hapa chini inaitwa usikatae lady jay dee ft Various artist
View: https://youtu.be/8hhRee7ZoY4?si=lP2XoLVCHWk4WhID
Nawatakia Dabi njema, Kumbuka Baraka mpenja kesho atakuwa anatangaza Dabi ya 15 tokea ameanza utangazaji.
YANGA BINGWA.
Ahsante.
π π π π πNashukuru sana kwa wimbo huo wa lady jaydee Ila nafurahi kwakuwa umemtaja mpenja .
Leo asubuhi nilikuwa na baba yake mzee Adson Mpenja kwenye gari la mdogo wake bwana Sixtus Mpenja linalofanya safari zake kutoka Mlowo ya umalila mpaka mbalizi tumezungumza mengi Ila kubwa ni kuhusu derby na zaidi kuniuliza Kama nimeoa maana anao mabinti wengi pale kwake .
Mengine sitayasema maana ni ahadi baada ya derby Ila nitarejea hapa kuwajulisha either nimepewa mke au Corolla yangu imetobolewa tairi ,kikubwa niombeeni Mimi mzaramo wa kijijini
wewe nimzaramo ,hongera unajitahidi unajua hata kusoma na kuandika umri huo mana changamotoNashukuru sana kwa wimbo huo wa lady jaydee Ila nafurahi kwakuwa umemtaja mpenja .
Leo asubuhi nilikuwa na baba yake mzee Adson Mpenja kwenye gari la mdogo wake bwana Sixtus Mpenja linalofanya safari zake kutoka Mlowo ya umalila mpaka mbalizi tumezungumza mengi Ila kubwa ni kuhusu derby na zaidi kuniuliza Kama nimeoa maana anao mabinti wengi pale kwake .
Mengine sitayasema maana ni ahadi baada ya derby Ila nitarejea hapa kuwajulisha either nimepewa mke au Corolla yangu imetobolewa tairi ,kikubwa niombeeni Mimi mzaramo wa kijijini
Hii ni Vita kwahiyo wazaramo hatujui kusoma ? Kwamba hatujaenda shule ? Kwamba vipi ndugu aisee nielekeze sijaelewa kabisa .wewe nimzaramo ,hongera unajitahidi unajua hata kusoma na kuandika umri huo mana changamoto
mabadiliko makubwa mkuu ,yanaonekana lakini nimeuliza Ngoma zimepungua nimejobiwa mmehamishwa mko kisaraweHii ni Vita kwahiyo wazaramo hatujui kusoma ? Kwamba hatujaenda shule ? Kwamba vipi ndugu aisee nielekeze sijaelewa kabisa .
Ndiyo mimi ni mzaramo
Anhaa ni kweli Kaka familia nyingi za pangu pakavu wamekimbilia huko kisarawe ,kuhusu ngoma haziwezi kuisha hata kidogo japo Kuna wakuja wanapewa mamlaka wanajitahidi kupambana na tamaduni zetu Ila Insh'Allah watashindwa waomabadiliko makubwa mkuu ,yanaonekana lakini nimeuliza Ngoma zimepungua nimejobiwa mmehamishwa mko kisarawe
Usiogope mkuu ,hatambeya hapa wenye mbeya Yao WASAFWA walishahamishwa kimbia kabisa wako milimani kabisaAnhaa ni kweli Kaka familia nyingi za pangu pakavu wamekimbilia huko kisarawe ,kuhusu ngoma haziwezi kuisha hata kidogo japo Kuna wakuja wanapewa mamlaka wanajitahidi kupambana na tamaduni zetu Ila Insh'Allah watashindwa wao
Ni kweli ndugu Ila nashukuru wazazi wangu hawakukimbia ,na Sasa hawapo na Mimi sihami nitabanana na wakuja mpka wajue wao ndiyo wahamiaji haramu hasa wasukuma na wakuryaUsiogope mkuu ,hatambeya hapa wenye mbeya Yao WASAFWA walishahamishwa kimbia kabisa wako milimani kabisa