Refund JE SACCOS contribution

Caroline Danzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2008
Posts
3,713
Reaction score
1,265
Wapendwa wana JE SACCOS,

Naendelea na mchakato wa kulipa fedha za michango ya wana JE SACCOS. Tafadhali kama wewe ni mmoja wao uliyetoa michango kupitia kwangu tafadhali naomba jitokeze niweze kufanya mchakato wa kukutumia hela yako. Nina watu 3 nashindwa kuwatafuta kwa majina yao halisi kupitia hapa, baada ya kupoteza ID zao za JF na namba zao za simu.

Naomba sana ni PM, tuangaliae jini ya kufanya malipo hao haraka iwezekanavyo.

Wasalaam,

CD
 

Kheee niaje tena? Mpango mzima umebuma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…