PostGE2025 Regarding Samia's meeting with Judge Warioba, should we expect any real changes or is it just another photo opportunity?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Guys,

We all saw a few hours ago that President Samia Suluhu Hassan met with Mzee Joseph Sinde Warioba at the State House in Dar es Salaam. Sounds important, right?

Of course no official details have been disclosed about the specifics of their meeting, but the timing of the encounter is crucial as it comes amid post-election tensions following the October 2025 general elections were thousands were killed

But let’s not get ahead of ourselves. Will this actually lead to any real change, or is it just another “let’s sit for a photo op” moment?

We know CCM is a master at propaganda and Samia’s got a whole collection of photos with opposition leaders and democracy advocates including photos with Tundu Lissu, Freeman Mbowe, even the US ambassador.

So, is this just another strategic photo to boost her image as the "democracy champion"? or will it translate into substantive action?


 
Tutegemee matokeo chanya including
1. Kuachiwa kwa TL.
2. Kuendelea kwa mchakato wa katiba mpya.
3. Kukaribisha mjadala na wapinzani ili kuliponya Taifa.
Mh. Rais kwa wengi wasilofahamu ni kuwa hana nia ya kuligawa Taifa but kuna muda washauri wake kwa maslahi yao binafsi wanampotosha.
1. Jaribu kupitia kwa makini nia yake ya kuliunganisha Taifa kupitia 4Rs,
2. Wapinzani wengi walikua nje ya nchi walirudi nchini baada ya kuwahakikishia ulinzi.
3. Baada ya maandamano alikuwa na taarifa alizopotoshwa lakini baada ya kupata taarifa sahihi alionyeshwa kuguswa na aliongoza maombelezo akilifungua Bunge.
4. Hotuba akiwa na wazee ilibdi iwe vile ili kutuliza joto lilikua linaendelea kupanda na kwakweli ilifanikiwa kwa kiasi kikubwa, hii ndio ilifanikisha kwa kiasi kikubwa kuzuia vijana kuandamana D9.
🙏
 
Chura kiziwi aluetapakaa damu....asubiri kwenda ICC.....
 
Hii lugha inakosa wachangiaji,
Watakuja huku kutukana basi waonekane wameiona mada
 
 
Photo shoot. Nothing else
 
Hao wazee tuwaweke pembeni unafikiri wanaweza kuwa na mawazo gani mapya ya kuibadilisha Tanzania.
 
Soma thread ya barua ya Lissu aliyoandika kwenda mahakama kuu kutaka kujua juu ya kesi yake. Imechukuwa wiki 2 kutoka Ukonga mpaka mahakamani. Lissu anaambiwa akitaka kuongea na mawakili wake hakuna usiri. Hawa watu hawana nia yoyote ya kurekebisha.
 
Nia nzuri ya kuja na mpango wa mashekhe wapumbavu wanaotishia watu KUKATA vichwa? Na sio Samia nchimbi Wala mwigulu walio kwema?
 
Sahau sio kwa huyo Shetani..
 
Hao wazee tuwaweke pembeni unafikiri wanaweza kuwa na mawazo gani mapya ya kuibadilisha Tanzania.
Halafu hapo hapo mnataka Wizara ya Vijana ijazwe wazee? Kumaninazenu... Wizara ya Vijana mnajaza Wazee wa nini? Wekeni vijana ndio Wizara yao ondoa Wazee wote
 
It's like to putting shit 💩💩in a bowl of diamond
 
Hakuna maendeleo chanya bila kuwaachia Lissu na Polepole. Bila kuwapa mabaki ya miili ya marehemu ndugu wa watu waliouwawa MO29 na kulipa fidia kwa wahanga wote.
Kinyume na hapo ni kujidanganya.
Yakifanyika hayo lazima jeshi la polisi na katiba mpya vifanyiwe mabadiliko haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…