Ila tofauti yao kubwa ni moja:
Wakigeuka nyuma, Melissa kapitwa sana na Kim na kwa Mipingo, hilo ni kosa kubwa.
Ajitahidi aweke Silicon haraka na market yake itakuja juu vibaya sana. Hebu kione na ulinganishe na Kim:
Kipengule cha Melissa : Kushoto na kitu cha Kim kulia kilivyosimama........ Yo-Yo upo hapo Shemeji? Wanyamwezi na vitu vyeupe .... hihiii 🙂
Huyu Kim kwa umbo ni hatari.... Ila kama mke, Kim na Kloe wakorofi sana sana na nisingelitaka kuishi nao ndani ya dari moja.
Kuna siku Kloe alichachamaaa na akataka kuwatembezea kibano dada zake wote na ikabidi wanywee tu.
Kourtney akasema kwa taratiibu kama kawaida yake kuwa "huyu Kloe, akija kupata mume na akamkorofisha, kidume kitafungwa kitandani na kuchukua kichapo cha nguvu....." Ila sema bahati nzuri kwa mwanaume dhaifu, akaja mjamaa amechumpa na msuli wa nguvu kutoka NBA. Kloe hawezi hata kuota kumchapa kibao maana mtoto wa NY Uswahilini, akichachamaa, moto utawaka.
Nakipenda sana hiki ki-Kourtney na utaratibu wange ingawa kipengule kimejinyima kidogo (naona kwa kukonda) maana ukiangalia Hips, kamejaza sana ila chini kana MIWA.
Kourtney kushoto na Kim kulia.
SHEM weye ni mkaree.....ubarikiwe
Namuangaliaga Lamar namuona kama goi goi f'lani hivi hata game yake LAL naona ataendelea kuwa sixth man all time.....hako ka kloe ni kana mdomo sana kama wanawake wa kichaga.....kanajifanya kanajua kichizi.....afu sio kakali kivileeeee.....
.....Kourtney mkali ila naona ana mironjo kama ya mwafrika wa kike.....
kiukweli Lamar kama ana mtindio wa akili...sijui ni ule urefu,na mke mwenyewe alivyo mkorofi japo kwa mumewe namuona tofauti hahahahaahSHEM weye ni mkaree.....ubarikiwe
Namuangaliaga Lamar namuona kama goi goi f'lani hivi hata game yake LAL naona ataendelea kuwa sixth man all time.....hako ka kloe ni kana mdomo sana kama wanawake wa kichaga.....kanajifanya kanajua kichizi.....afu sio kakali kivileeeee.....
.....Kourtney mkali ila naona ana mironjo kama ya mwafrika wa kike.....
Kwa Kim siku zote R egie ndo mwanaume anayempenda,msikilize anavyomuongelea kana kwamba wako pamoja...ila hawa wengine ni wanaume anaojaribu kuwa nao kwa malengo yake ya kuolewa maana nae anapenda kuolewa huyo kama mwanamke wa mwananyamala
hii familia mhh...Yan khoe amezidi hata mwanamke wa Kiswahili Ana afadhali...anapenda endesha wenzake n hapendi ukweli...khoe ma thumb finger z down for u...Kim change ur habit,u r beautiful bt u don stay wit ur guys,break up n make up all the time,maybe u don know what kind of a man u really want,Huyu wa sasa tayari scandals harusi itafungwa kweli????!!!...kourtney,so much luv for u bt check out wit ur baby daddy,scout....Robert watsup wit ur life do smthng plzzzzz....Kris,great mum remember always family kwanza,spend mo time wit ur hubby,punguza apointments...
mr usinambiue kwa nini hujui anakuwa mpole jamani...unaona mpaka sauti anabadilisha kweli Lamar kiboko eneo hiloHahha hii familia ipo artificial sana ila nampenda Khoe pamoja na ukorofi wake kwa Lamar ni mpoleee
mr usinambiue kwa nini hujui anakuwa mpole jamani...unaona mpaka sauti anabadilisha kweli Lamar kiboko eneo hilo
hahahaah we unamuonaje Regie,kuna mahali nilimbamba nikasisimkwa mwili mzima....ila asiwe kama huyo RayJHahah kaka zetu nawaaminia ndo maana Kim bado anamuwaza Reggie hahha
wa kawaida tu...kuna mademu wakali kuliko yeyeKim ni Mkali sana aiseh.
yah maaaang mosty from sukuma landwa kawaida tu...kuna mademu wakali kuliko yeye