Elections 2010 Regia Mtema akataa hongo ya CCM

thank you for stating this, jf inameanza kua huru hadi sasa watu wameanza ku-advocate violence na ku-post vitu vya ajabu. Nahisi amani yangu inachezewa sana na power ya cyber.
Mkuu,

Baada ya mods kunifahamisha juu ya uvumi huu ilibidi niingie kuweza kufafanua juu yake. Kuna watu wanafurahia ku-advocate violence lakini nishauri kuwa ziangalieni posts vema; zilizokaa ki-shari tufahamisheni tuzipitie na kufanya verification.

Si kweli, ina maana hakukataa bali alipokea?
Mkuu, si kama hakukataa.

Kwa mujibu wa Regia, hakuna hata mtu alom-approach na wala hakujakuwepo na kitu kama hicho.

Tetesi zikiingia JF, husambaa via sms na mpaka huko Kilombero zimefika. Wapiga kura wake wamechukizwa, wanaweza kumtoa roho bure! Yeye anachosema ni kuwa anaenda mahakamani kupinga matokeo, sasa anayeenda mahakamani anatumia hela hizo hizo za kuhongwa? Ili iweje?
 
Mkuu,

Hizi ni siasa tu, kudai CCM ni wezi ni kutowatendea haki wengi ndani ya chama hicho. Siamini hata kama una chama basi ndani ya chama chako kila mmoja ni msafi.

Lenga watu flani ndani ya CCM ndo uonyeshe ubaya wao na si kuwaunganisha tu.

MFANO: Wengine hudhania JF ni pro CHADEMA, mbona kuna wana CCM wengi humu? Mbona tunao CUF? Tuache unazi na tuangalie picha kubwa
 

Hayo ndo matusi yaliyo mgharimu SLAA alifikiri atapata urais kwa kura za mza, arusha na mbeya akadharau Lindi mtwara n.k watanzania wote sawa ndoo maana sisi tunaona chadema mnaubaguzi mkubwa nyie wenyewe mnathibitisha kasumba hii hata mkipata URAIS mtatutesa haiwezi kuondoka. Hilo nalo GOD kaona mme noa.

CCM watapata kura kila siku maana wanajali wizi hata nyinyi mngepata fursa mngeiba hamna fursa ndoo maana. mlivyokua hamtaki kushindwa mbona profesa kakaa kimya nyie na profesa nani Msomi na mjuaji
 
Mimi mpaka sasa hivi hii habari ya Regia kule kilombero bado kizungumkuti kwangu
 
Siamini mkuu unaetetea CCM hapa kama Maxence Melo.

Usiogope kuwa CCM watakushambulia au kuifunga JF, simply tunawapasha ukweli wao! Tunataka viongozi wanaofuatilia performance za subordinates zao, na kuwawajibisha incase wanavurunda, si viongozi wanahakikisha maswahiba zao wanarudi madarakani at any cost huku wananchi wanateketea.

Angalia Liberia mama kaforce mawaziri wote waresign ili afanye tathmini ya utendaji wao, aliyevurunda out na adhabu alietimiza anaendelea na kupewa majukumu mengine ya kimaendeleo, CCM for 5ys wanawazia kukusanya hela za binafsi na za kugharamikia uchaguzi wa kifahari na kuhonga.

Hupendwi hupendwi tuu! Si sababu ya sura yako ila matendo yako, kutowajibika, wizi, ubadhirifu, udanganyifu etc. Hatuna chama cha taifa kipo cha watu flani tu! Tupo mkiani mwa uchumi sawa na wenye vita miaka nenda rudi!
 
Mkuu,

Hakuna anayeitetea CCM hapa; hata huyo Nyani Ngabu aliandika kuwa mimi ni CCM ili kufurahisha baraza tu. Kabla hatujayafikia ya Liberia tunatakiwa kujiridhisha kuwa NJIA ZOTE zimeshindikana.

Aidha; CCM haiwezi kuifungia JF, kama unamaanisha CCM hii ya Tanzania. Hilo sisi hatuna shaka nalo; masuala mengine yanahitaji busara tu, ninachosisitiza hapa ni kuangalia athari ya maandishi yetu kwa wenzetu tunaowagusia. Leo Regia, kesho wewe!
 
Aiseeeee babaangu haiwezekani!

Lazima tuingie mitaani kupinga hirii!

Pipppooooozzzzz Upawa? Teh teh teh!!!!
 
Hii ni laana tu, haiwezekani kila mtu akawa mbinafsi tu
 
wako wapi ma sharp shooters waanze kuwapunguza mafisadi mmoja m1 tumechoka!!!!!!.
 
Ninachojua na kuamini HAki ya Regia haijapotea bure, aende mahakamani hima bila kuchelewa.
 

(red) leo wamefulia lakini wako bungeni, mpuuzi nini ndo akina kibonde ninyi, hiyo ni peoples pwr
 
rudi shule, unaandika kama hufikirii vile!
 
Pole dada regia
Pole si kwa Regia pekee ila kwa waTZ wote wapenda haki na mabadiliko. CCM ni majangili kabisa na style ya kwenda nao ni kama ilivyokuwa Nyamagana na Arusha mjini.
 
Hakika wewe lazima utakuwa ni mkazi wa LINDI, RUFIJI au MTWARA

Hujakosea Mpendwa, sehemu zote zenye maendeleo, watu wenye kujua kufikiria na kupambanua mambo wamechagua Chadema. Lakini sehemu zile za wenzetu ambako wako kweusi kimaendeleo wamedanganyika (LINDI, RUFIJI au MTWARA). Hata ukiangalia kwa mkoa wa Dar utajifunza kitu kwa wakazi wa Jimbo la Kawe na Ubungo na Segerea waliko chakachua.
 

Mungu wangu!! kweli wewe ni mbumbumbu. Mpaka sasa hujajua tofauti ya watu wa aina ya Shibuda na wale wa aina ya Nape Nnauye? Kwa taarifa yako watu kama Nape wameonyesha kabisa kuwa wanatafuta uongozi kwa maslahi yao na sio taifa ndo maana hata baada ya kufanyiwa zengwe ameendelea kuwa mnyenyekevu kwa mafisadi akijua kabisa CHADEMA hamna maslahi. Watu kama Shibuda ni sawa na watenda dhambi waliomrudia mungu baada ya kupata madhara ya dhambi.

Umbumbumbu wako unajionesha zaidi pale unapokuwa hujui hata jinsi unavyoibiwa kodi yako na ccm na hujui hata mgawanyo wa mapato ulivyo ndo maana unataka kuona kama ilemela na nyamagana watapata elimu bure, lakini ungekuwa na ufahamu ungegundua kuwa elimu ni sera ya kitaifa hivyo hata kama uongozi wa jimbo ni mzuri kiasi gani bado utategemea uongozi wa kitaifa.

Nakuomba ndugu yangu zinduka usipende kubaki nyuma kila wakati; yaani tulipokuwa ktk kipindi cha kupigania uhuru aina ya watu kama wewe walikuwa wanatetea wakoloni, ulipokuja mfumo wa chama kimoja nyie mliendelea kuongelea vyama vingi, tuliporudi kwenye mfumo wa vyama vingi nyie mmebaki na mawazo ya chama kimoja, tunaingia kwenye utandawazi nyie bado mmelala usingizi mnafikiri bila ccm hamna Tanzania. MAWAZO MGANDO HAYO!!!
 

Kuna wengine hapa JF wanapopata taarifa tu wanaanza kuamini hata bila kufanya uhakiki na kudadidsi matokeo yake ndio hayo baadhi yetu tunatoa maoni kwa hisia zetu tu na kutoa hukumu.
 
Melo!!, Kweli CCM Noma, Wamekuchachafya hadi umeamua kuvunja ukimya.......... kwa sisi tunaozijua Adha za ccm wala hatushangai
hapo ulipo unaweza ukawa unaandika vi posts vyako ukiwa chini ya usimamizi wa Kinana,....... Amewezekana Tido, Mengi na vyombo vyake, kasumbuliwa Kubenea, Onyo kali kwa Mwananchi....... utashindikana wewe na JF yako, Sikulaumu kwani najua unafanya hivyo kwa
manufaa ya JF................, Humu ndani wengi sio Pro CHADEMA bali ni Pro-CHANGEs na hakuna chama kilicho tuahidi mabadiliko zaidi ya hicho.
Pole broda kwani Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe siku zote.
Nb: naomba usini Ban kwani nina mengi ya kufanya humu JF Nivumilie tu.
 

pumbavu!!!!!!!!!!!!!
 
we angalia tu jama alivyoanza

''nimethibitishiwa na mtu mzito...........

ujue huu ni uongo!!
 
nakusikitikia sana, ninamashaka sana juu ya uwezo wako wa kufikiri na kiwango cha elimu yako pia, kweli ccm imeoza kuanzia mwenyekiti, katibu mpaka wanachama dah, na sehemu nyingi ambazo ccm imeshinda kwa kishindo wapiga kura wake ni wa aina yako. Haya mjomba songa mbele ila mwisho wenu unakuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…