Elections 2010 Regia Mtema akataa hongo ya CCM

Asante sana kaka nadhani wewe umemaliza kila kitu.
 

2SO2, usishange kila kundi uwa kuna mataila. Mbona jana kuna kundi la mataila wanahabari walikaa pamoja kujisifu eti 'haikuwa rais' alaf wanaimba ...oyee wanarudia...oyee*5 ivi ujui iki ni kibwagizo cha chama gani? Kweli tz bado ina watu wazima mataila,haikuwa rais? Wanamsema nani 'akuwa rais?' wapuuzi!
 
Inawezekana,ccm hawawezi kushinda bila kutumia hila,mimi mwenyewe wamenijaribu mara kadhaa kunishawishi nijitoe kwenye kinyang'anyiro wakashindwa.
 
Lugha za mafisadi utazijua tu!
 

unataka utukanwe then mripoti kwa MODS watu tufungiwe humu..nyie haya tu
 

Jamani ni vizuri kama huna cha kushauri juu ya ujenzi wa nchi yetu tuka kaa kimya kwani huu ushabiki wa vyama hauta saidia maendeleo ya nchi, hakuna mtu mjinga asiefahamu jinsi pato la taifa ambalo kimsingi ni pesa za kodi toka kwa wavuja jasho zinavyotumiwa vibaya naserikali ilioko madarakani sasa akija mwehu na ushabiki wa chama chake aanze kutwambia haiwezekani kuleta maendeleo yetu kwa kutumia kidogo kinachopatikana naona nibora mtu huyu akae kimya kuliko kujidhalilisha kwa kuonyesha ni jinsi gani hawezi fikiri vizuri.

Ili nchi ipate maendeleo nilazima mambo yafuatayo yazingatiwe
1. Kuwekeza katika Elimu ya Sayansi ambayo hapa kwetu inauwawa
2. Kuwajali wataalamu kwa kuwalipa malupulupu yanayo lingana na kazi zao
3. Serikali ipunguze anasa kama vile kutembelea magari ya kifahali kwa watumishi wa
uma.
4. Kuahakikisha walimu analipwa vizuri
5. Serikali kusimamia mapato na matumizi ya uma kwa umakini mkubwa kuondoa mianya
ya ubadhilifu
6. Ubunge iwe kazi ya kujitolea na sio kazi yakuula kama ilivyo sasa.

Kuyafanya haya ni lazima uwe MZALENDO wa ukweli kama Che guavara au Ahmadnejad
vinginevyo tunadanganyana
Tuliopevuka kimtazamo tunajipanga hatuwezi kudanganywa na watu wachache kama wewe....
 
Ninachojua na kuamini HAki ya Regia haijapotea bure, aende mahakamani hima bila kuchelewa.
Muulize Mnyika kesi aliyofungua mwaka 2006 kama ilishatolewa hukumu! Mafisadi wameiteka mpaka mahakama. Hata hukumu ya Chenge ya kuua atapeta nakwambia.
 
mtajuaje kama alikataa kweli kupokea?mbona hajakanusha?
 
mkuu embu njoo ufafanue hapa, alikataa au alipokea? kwasababu tunahasira kweli kweli?
Na kama alikataa na ushahidi anao kwanini asiende mahakamani kama Mpendazoye?
 
Acheni vilio na ccm wekeni mikakati endelevu...tuji organize nchii nzima kushinikiza katiba mpya hiyo itawapa moral wabunge na nchii jirani au wahisani kuishinikiza serekali kufanya hivo haraka..ila kwa mpango huu ccm cccm ccm ndo itabakia kuwa kama nyimbo za bob malley akilini mwetu...Ppfuuuuuuuuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…