Elections 2010 Regia Mtema kupata ushindi wa kishindo Kilombero

mimi nimepiga kura yangu kwenye kituo kimoja ndani ya kambi ya askari magereza,ila kabla ya kufika kituoni asubuhi nilikutana na afisa mmoja wa hapo kambini ambaye ni mzee akaniambia kijana zawadi pekee utakayo nipa leo ni kuchagua CHADEMA na DR.SLAA sikuamini ila ki ukweli nimeongea na askari kama wanne wameniambia wamechagua mabadiliko. Afu nimepata sms baada ya kupiga kur kutoka kwa jamaa mmja kuw zire karatasi zina gungi kwa hiyo tiki inahama akaniomba niusambaze kwa rafiki zangu. Najaribu kufikiria kama hiro linawezekana nashindwa kuhitimisha aliye piga kura baada hii sms anitoe wasiwasi tafadhari
 
Mi tayari nimeshapiga kura yangu huku loliondo.Ninawaombea wenzangu huko Monduli kuchagua mabadiliko na kuachana na ufisadi.
 
Mwaka huu wetu. kazi ya ccm siyo kujenaga hoja. wao wanapiga kampeni kwa kuahidi ujenzi wa vyoo, bajaji, n.k. style hiyo inaanzia kwa mswahili jk hadi kwa mgombe udiwani. wananchi wamechoka ahadi wanatakan hoja za kubadili mifumo.
 
Babangu Kipuyo nimekupata! kata mizizi ya fitina huko! wapelekee maji ya kunywa wasimamizi wetu
 
Ngoja aje hater wake hapa lol. Na ikitokea kweli sisteri akashinda...patakuwa patamu hapa maana alikejeliwa saana hapa. Vilevile itokee ashindwe....someone will gloat and scream to high heavens 'i told you so'....cant wait to see this one plays out

Sidhani kama jamaa ni hater...............isipokuwa alimchambua Dada Regia kutokana na alivyouliza na alivyojibu baadhi ya maswali............hata mimi niliona dada bado ni weak sana.......HAIJUI KATIBA.........halafu akishinda ataapa kuilinda katiba asiyoijua..........ni kichekesho.....IMAO
 

wewe unaijua katiba yote kuanzia vifungu, ibara, hadi nukta? Na usiseme hugombei nafasi yoyote
 
wewe unaijua katiba yote kuanzia vifungu, ibara, hadi nukta? Na usiseme hugombei nafasi yoyote

Yeah pretty much..............kuna vitu very basic ndani ya katiba (section ya uchaguzi) unatakiwa ujue kama wewe umeingia kwenye kinyang'anyiro..............mfano......Regia HAKUJUA kuwa JK ni Rais wakati wa kampeni na Urais wake utakoma pale atakapoapishwa Rais Mwingine............na mambo mengine amabyo through discussions hapa......alionyesha ni WEAK hata sera za CHADEMA hakuwa anazifahamu vyema............i mean she is extremely WEAK.................na kama atashinda......basi itakuwa ni hasira za watu juu ya chama tawala.....kama ilivyo kule Pemba..................
 
preta... You never stops to amaze me... Kumbe dudu liumalo kidole ndo lile...???!!!!

Kweli a second can add millions to our lives

chadema oyeeeeee, ushindi ni wetu hata iweje,
nahisi jamaa anapresha sana huko aliko, ccm byebye
 

hongereni kilombero, mimi jimbo la kawe tayari nimempa mdee, na slaa bila kuwahurumia sisiemu. Am telling you the truth wakishashindwa sisiemu na chama kinakufa kabisaaaa, hakuna kuwaonea huruma leo ni leo.
 
nina imani kubwa sana na Regia mungu amsaidie ashinde
 
Regina sawa na Mr. II huku Mbeya. Mpesya wa sisiem anaonekana underdog.
Jamaa anakulika vibaya. Pamoja na Silinde wa Tunduma (Mbozi Magharibi). Chadema wanatisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…