Common Folk
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 909
- 4,050
Hapa sijaambulia chochote ngoja waje wenye akili kubwa huenda nikapata chochote.
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Umetumia 'Title' kubwa kuliko ulivyo itendea haki kuijengea hoja.Na wanaoipalilia ikue kwa kasi ni hao hao CCM wenyewe. Uchaguzi wa mwaka huu hauna tofauti na wa miaka ya 1970, kipindi tunapiga kura za ndiyo na hapana.
Nchi imeshauzwa hiiNa wanaoipalilia ikue kwa kasi ni hao hao CCM wenyewe. Uchaguzi wa mwaka huu hauna tofauti na wa miaka ya 1970, kipindi tunapiga kura za ndiyo na hapana.
Huyo mwanamtandao mkuu ndiye atafanikisha hili, maana mabosi zake huwa wanaangalia zaidi "People's Opinions" kuliko mambo mengine. Tukumbuke huyo mwamba hana upande na ni mwiko taswira yake kuchafuka.
Kwa kuwa CCM wamelewa madaraka, hawataki kufanya upembuzi wa mambo kiuyakinifu, watakuja kukumbuka shuka kukiwa kumeshakucha.
View attachment 3461572
akyanani! Hadi PM ananyenyekea? Huyu Rosti tamu la Aziz kweli ndiye mmiiki wa hii nchiNa wanaoipalilia ikue kwa kasi ni hao hao CCM wenyewe. Uchaguzi wa mwaka huu hauna tofauti na wa miaka ya 1970, kipindi tunapiga kura za ndiyo na hapana.